Naombeni elimu ya MP ya siku 28

Ngoksi

Member
Jan 17, 2012
45
12
Eti ni siku gan wanamke baada ya mp anaweza pata na kutopata mimba kwa yule anaepata mp baada ya siku 28
 
>kupata Mimba siku ya 10 mpaka 17

>Kutokupata Mimba siku ya 3 baada ya kumaliza Damu mpaka siku ya 9. Na kuanzia siku ya 18 mpaka siku ya kuanza kubleed.

Ila wanawake wachache sanaaa wanamzunguko wa siku 28. Wengi ni juu ya hapo. Reason Protein mbalimbali katika chakula.
 
Back
Top Bottom