Naombeni dua zenu

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,263
16,288
Wana jamvi habari zenyu
niombeeni dua naelekea
kijijini kwetu kwenye misa ya mzee wetu jj msofe ali r.i.p 23 yrs ago,nipo kwenye bus la happy nation,na hizi ajali oooops! Hapa namsaidia driver kufunga break kwa meno, miguu na kuendelea.karibuni
kuna kande huko
 
wana jamvi habari zenyuniombeeni dua naelekeakijijini kwetu kwenye misa ya mzee wetu jj msofe ali r.i.p 23 yrs ago,nipo kwenye bus la happy nation,na hizi ajali oooops! Hapa namsaidia driver kufunga break kwa meno, miguu na kuendelea.karibunikuna kande huko
daaa ufike salama mpendwa wetu mungu awe nawe utokapo na uingiapo amen
 
kila la heri, ila hata abiria una wajibu wa kusema unapoona dereva haendeshi vizuri.

usalama wako kwanza
 
kila la heri, ila hata abiria una wajibu wa kusema unapoona dereva haendeshi vizuri.

Usalama wako kwanza

kwanza mie ni abiria namba 1 yaan nyuma ya
dreva,kwa muda huu anaadabu kidogo make kuna madingi wamemchimba mkwara wa maana na ameambiwa akileta makeke wanamkabidhi kwa trafik yeyote tutakayekutana nae!
 
kila la Kheri kwa safari yako utafika salama na utarudi samala kwa uwezo wa Mungu.
 
ila natumaini siti yako haiko karibu na dereva maana kwenye kubadilisha gia anaweza akakosea halafu mkono ukaenda sehemu nyingine halafu dereva akaanza kupata mshtuko...:lol::eyebrows:

weye naee hii si daladala yenye floor gear hapa dereva kajengewa ka cage kake hatugusani nipo nyuma yake namsaidia ku drive
 
Una mapoint hadi raha.
afu flora kumbe wewe mjasili

Ila natumaini siti yako haiko karibu na dereva maana kwenye kubadilisha gia anaweza akakosea halafu mkono ukaenda sehemu nyingine halafu dereva akaanza kupata mshtuko...:lol::eyebrows:
 
Happy Nation..................siwakandii lakini nimoja ya kampuni nilizozipiga x kwenye selection ya ya chombo cha kusafiria
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom