sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Amegundua mnamwongezea stress!
huyu mleta sredi mbona kimya sasa? au tayari amejifungua?
huyu mleta sredi mbona kimya sasa? au tayari amejifungua?
Rose nshazma taa! Zma na wewe! 9ts 2u all! Nawapenda wooooote! Mniote wajameni! Byeeeeee!
dah umenikumbusha mawenziiii et nilikuwa nkilala nalala na jeans afu nachomekea sweta afu nasema...ADABU PANAPO MALALO MWALIMU ANATAKA TUCHOMEKEE....met walikuwa wanachekaaaa bas mwenyewe nikichomekea msweta wangu na suruali kuuubwa ya kadet na soks bas nalala unono wewe acha tu yan ili joto la dar ki 9t dress kilain mtu akitaka kukupaka vaseline anakupaka kwa raha zake stak mie
ngoja nizidshe kipupwe apa then nivae sweta langu na sarawil as u sayed.....
halaf ana bahati sana kushauriwa na klorokwini. yaani akifata ushauri wangu tu basi kawin maisha.Amegundua mnamwongezea stress!
Mbaya zaid ukutane na thred alyo2ma Muhadhir, Hafif, M. Shosi, n.k. Ucpopatw na kisukar ni bahat! Angalau MMU unaongeza ck za kuishi.
sasa huu ni ushauri au?
hebu njoo unichune bana nimeshinda ka lotto ka laki tano, ukichelewa namalizana na lizzy.
aargh husninyo utaniuwa halaf mazikoni usihuzurie
hizi thread za hivi zinaudhi sana mtu ana post halafu anaingia mitini!!!!!!!!!!!!!!!!