Naomben ushauri.

halaf kana bahati kweli lakini samtaimu kananizingua, nataka kukaanzishia sredi. yaani samtaimu hata ka sigara sivuti kwa kummiss! aargh husninyo utaniuwa halaf mazikoni usihuzurie

ukimpa dola atahudhuria mazkon namimi ntamptia ....shost twende msbani....!!!!!
 
Mi nmetoa ila ww cjaona ushaur wko! Hacra c zmeisha mshaur bas dada wa wa2 kbla uchungu haujamuanza! C unajua ypo dk za majeruh?

Kesho,nikitoka kanisani na upako nitamtumia ujumbe wa ushauri mzuri sana,
 
we Rose c 2mekubaliana 2lale? Ndo nn tn unanpgia makelele na huyo klorokwin wko? Na ckuamsh tn? Mwambie yeye2 akuamshe.

Hahaha,dah i love MMU,....
Nime gundua jukwaa la siasa lina nifanya nikasirike kila siku,ni nadra sana kucheka kule
 
Hahaha,dah i love MMU,....
Nime gundua jukwaa la siasa lina nifanya nikasirike kila siku,ni nadra sana kucheka kule

ahhh nimegundua pale mwanzo ukijuwa umetoka la siasa enhhh
ndo mana mihasira ilikuw amiamia?
 
Mbaya zaid ukutane na thred alyo2ma Muhadhir, Hafif, M. Shosi, n.k. Ucpopatw na kisukar ni bahat! Angalau MMU unaongeza ck za kuishi.
Hahaha,dah i love MMU,....
Nime gundua jukwaa la siasa lina nifanya nikasirike kila siku,ni nadra sana kucheka kule
 
we Rose c 2mekubaliana 2lale? Ndo nn tn unanpgia makelele na huyo klorokwin wko? Na ckuamsh tn? Mwambie yeye2 akuamshe.

mh klokwn kweli umpe rungu la kuniamsha?
usimfanye mwenzio aanze kupga pushap saizi akitafuta nguvu za kuniamsha...stak bwna we niamshe tu!!!!
 
Mbaya zaid ukutane na thred alyo2ma Muhadhir, Hafif, M. Shosi, n.k. Ucpopatw na kisukar ni bahat! Angalau MMU unaongeza ck za kuishi.

shost lala jaman

mi nasubr uzime taaa na mimi nizme mbona waendeleza tu majadala wa katiba mimba apa?
ukizima taa nambie na mimi nizime ennh shost....!!!!!!!!!
 
Tehe, tehe, teheeeeeee! Tafta sarawil ya jins na mkanda, vaa then ndo ulale! Vua hyo 9t drec manake mambo ya kupakana Vaseline ucngzn ni hatar ati!! Ntakuamsha na ww umuamshe Speaker cz ameahd kumpa dada mchango wa mawazo after church! Sa cjui anaenda kumwulza mchungaji/ padri kwnza?
mmh apo chacha!!!!
shost tulale na uniamshe ukimwambia klokwin aniamshe anaweza akanipaka vaseline kabla ajaniasha stak mie mi ataka wewe amsha mimi!!!!!!
 
Rose nshazma taa! Zma na wewe! 9ts 2u all! Nawapenda wooooote! Mniote wajameni! Byeeeeee!
 
Tehe, tehe, teheeeeeee! Tafta sarawil ya jins na mkanda, vaa then ndo ulale! Vua hyo 9t drec manake mambo ya kupakana Vaseline ucngzn ni hatar ati!! Ntakuamsha na ww umuamshe Speaker cz ameahd kumpa dada mchango wa mawazo after church! Sa cjui anaenda kumwulza mchungaji/ padri kwnza?

dah umenikumbusha mawenziiii et nilikuwa nkilala nalala na jeans afu nachomekea sweta afu nasema...ADABU PANAPO MALALO MWALIMU ANATAKA TUCHOMEKEE....met walikuwa wanachekaaaa bas mwenyewe nikichomekea msweta wangu na suruali kuuubwa ya kadet na soks bas nalala unono wewe acha tu yan ili joto la dar ki 9t dress kilain mtu akitaka kukupaka vaseline anakupaka kwa raha zake stak mie

ngoja nizidshe kipupwe apa then nivae sweta langu na sarawil as u sayed.....
 
Back
Top Bottom