Naomba Zitto Kabwe atoe ufafanuzi wa acc zake za FB.

Mwakalinga Bujo

JF-Expert Member
Oct 22, 2008
2,719
1,440
Kuna acc si chini ya nne na page moja zote zinamuelezea Mh. Zitto Kabwe kwenye mtandao wa Facebook.
Naomba ufafanuzi kutoka kwa zitto kwasababu tunaweza kuwa tunamlaumu kwa tunayoyaona kwenye acc hizo kumbe sio yeye.
 
Back
Top Bottom