Naomba wife amuondoe huyu hg Mara moja, sitaki lawama

navin-govind

Member
Apr 10, 2015
72
112
Ndugu zangu,

Huko nyuma niliwahi kupata dhahama ya kuanguka dhambini na mtumishi wetu wa ndani, na bila kutarajia akapata mimba, kwa kuwa nilikua under Satan's influence nikaikana ile mimba, baadae sana nilikuja kukubali, mtumishi alirudishwa kwao, wasuluhishi wakatusuluhisha na wife akarudi nyumbani, nikasamehewa.

Sasa wife amerudia kosa lile lile la wakati ule, familia yake wametuletea housegirl kutoka Ugweno ambae kwa kweli amekidhi vigezo vyote vya kuitwa mwanamke mkali, ni mzuri ajabu, umri wake ni mkubwa kidogo anakimbilia 30 na nimeelezwa kuwa alioshaolewa huko kijijini na kuachika na sasa ameamua kuja kufanya kazi ili aweze kulea mtoto wake huko kijijini.

Wowowo la huyu dada si mchezo, kiuno ni chembamba mno, nyonyo ni kama hajazaa vile, sikujua huko vijiji vya Upareni kuna wanawake wazuri namna hiyo, jinsi alivyo huyu dada ndio ugonjwa wangu mkubwa uliofanya nikaanguka hata mwanzo.

Sasa naogopa kumwambia wife kuwa kwa usalama wangu naomba amtoe haraka huyu dada, alete wabaya kama aliendoka. Juzi Sunday waliniacha nae wakaenda church, wakati anaoga nilipanda na kiti na kupenyeza jicho penye uwazi juu ya mlango na kushuhudia umbile zuri la huyu dada na kushuka haraka alipofunga maji, baada ya tukio hilo la jumapili nimejiridhisha pasipo shaka kuwa huyu dada aondolewe haraka kuninusuru, shida ni nani amwambie wife jambo hili.

Safari hii nina nia ya dhati kumkwepa shetani na vishawishi vyake, nahitaji maombi yenu kwa hali na mali, mnapokua mnaomba mnitaje niweze kuibuka mshindi kwenye jaribu hili.

Asanteni
 
Wewe ni mwanaume hopeless kabisa. Kutamani hg hilo sikulaumu sana ila kwenda kumchungulia mtu anayeoga bafuni ni upuuzi mkubwa, hata ungefanywa na kijana wa miaka 18 bado ningeuita upuuzi sembuse wewe baba wa familia???? Nimekumbuka msemo wa rafiki yangu mmoja,,being a man is more than having a penis.
 
Ndugu zangu huko nyuma niliwahi kupata dhahama ya kuanguka dhambini na mtumishi wetu wa ndani, na bila kutarajia akapata mimba, kwa kuwa nilikua under Satan's influence nikaikana ile mimba, baadae sana nilikuja kukubali, mtumishi alirudishwa kwao,
Wasuluhishi wakatusuluhisha na wife akarudi nyumbani, nikasamehewa

Sasa wife amerudia kosa lile lile la wakati ule, familia yake wametuletea Housegirl kutoka ugweno ambae kwa kweli amekidhi vigezo vyote vya kuitwa mwanamke mkali, ni mzuri ajabu, umri wake ni mkubwa kidogo anakimbilia 30 na nimeelezwa kuwa alioshaolewa huko kijijini na kuachika na sasa ameamua kuja kufanya kazi ili aweze kulea mtoto wake huko kijijini

Wowowo la huyu Dada si mchezo, kiuno ni chembamba mno, nyonyo ni kama hajazaa vile, sikujua huko vijiji vya upareni kuna wanawake wazuri namna hiyo, jinsi alivyo huyu Dada ndio ugonjwa wangu mkubwa uliofanya nikaanguka hata mwanzo

Sasa naogopa kumwambia wife kuwa kwa usalama wangu naomba amtoe haraka huyu Dada, alete wabaya kama aliendoka,

Juzi sunday waliniacha nae wakaenda church, wakati anaoga nilipanda na kiti na kupenyeza jicho penye uwazi juu ya mlango na kushuhudia umbile zuri la huyu Dada na kushuka haraka alipofunga Maji, baada ya tukio hilo la jumapili nimejiridhisha pasipo shaka kuwa huyu Dada aondolewe haraka kuninusuru, shida ni nani amwambie wife jambo hili,

Safari hii Nina nia ya dhati kumkwepa shetani na vishawishi vyake, nahitaji maombi yenu kwa hali na Mali, mnapokua mnaomba mnitaje niweze kuibuka mshindi kwenye jaribu hili

Asanteni
Naomba unitumie namba ya simu ya mkeo ili nishauri amwonde huyo Dada.
 
ha ha haha yani wewe unakimbizina na zinaa.. kilichokufanya upande juu ya kiti umchungulie ni nini? kweli wewe unagenye mshindo aisee si bure......... kwa hiyo hapo ukikaa unaona umbile la binti wa watu............ kama uke anao kama wa mkeo awe na tako awe flat mwiso wa siku we unahitaji kukojoa tu ndiyo mwisho wa mchezo ... sasa jiwekee akilini kama uke hata mkeo anao.......... makalio makubwa sijui nyonyo sijui lips sijui rangi ndiyo hivi ni vichocheo lakini haka mkeo anavyo.............

ukimuondoa hg kwa sababu ya nyege zao na kumfanya ashindwe kulea mwanae kijijini we si mtu mzuri kabisa.... ...

kimbia zinaaa
 
Nipe namba yake nitakusaidia kumweleza.
 
Umemaliza kila kitu. Yaani natamani huyu jamaa asome
ujumbe uliompa.
 
Ndugu zangu,

Huko nyuma niliwahi kupata dhahama ya kuanguka dhambini na mtumishi wetu wa ndani, na bila kutarajia akapata mimba, kwa kuwa nilikua under Satan's influence nikaikana ile mimba, baadae sana nilikuja kukubali, mtumishi alirudishwa kwao, wasuluhishi wakatusuluhisha na wife akarudi nyumbani, nikasamehewa.

Sasa wife amerudia kosa lile lile la wakati ule, familia yake wametuletea housegirl kutoka Ugweno ambae kwa kweli amekidhi vigezo vyote vya kuitwa mwanamke mkali, ni mzuri ajabu, umri wake ni mkubwa kidogo anakimbilia 30 na nimeelezwa kuwa alioshaolewa huko kijijini na kuachika na sasa ameamua kuja kufanya kazi ili aweze kulea mtoto wake huko kijijini.

Wowowo la huyu dada si mchezo, kiuno ni chembamba mno, nyonyo ni kama hajazaa vile, sikujua huko vijiji vya Upareni kuna wanawake wazuri namna hiyo, jinsi alivyo huyu dada ndio ugonjwa wangu mkubwa uliofanya nikaanguka hata mwanzo.

Sasa naogopa kumwambia wife kuwa kwa usalama wangu naomba amtoe haraka huyu dada, alete wabaya kama aliendoka. Juzi Sunday waliniacha nae wakaenda church, wakati anaoga nilipanda na kiti na kupenyeza jicho penye uwazi juu ya mlango na kushuhudia umbile zuri la huyu dada na kushuka haraka alipofunga maji, baada ya tukio hilo la jumapili nimejiridhisha pasipo shaka kuwa huyu dada aondolewe haraka kuninusuru, shida ni nani amwambie wife jambo hili.

Safari hii nina nia ya dhati kumkwepa shetani na vishawishi vyake, nahitaji maombi yenu kwa hali na mali, mnapokua mnaomba mnitaje niweze kuibuka mshindi kwenye jaribu hili.

Asanteni

Weka jina lako halisi ili tukutaje wakati wa maombezi
 
Mimi hapo kwenye kupanda kiti umenikumbusha filamu moja ya ki Nigeria jamaa alivyokua anakodoa mimacho utafikiri mjusi anaemeza chura kuangalia shemeji yake anavyooga kupitia maungio ya mlango.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom