Naomba ushauri

oldd vampire

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
253
52
Wana jf,mimi napenda sana kusoma mambo ya IT haya,ila sahivi npo chuo mwaka wa pili nasoma Bachelor of arts with education,kiukwel teaching sipendi kabisa nasoma basi tuu!
Sasa nimepata sponsor ni ndugu yangu ana ishi U.S.A..,nami nataka enda soma huko ila sasa naenda kuanza upya degree na kusoma hiyo IT,je nisubiri nimalize mwaka wa tatu?au niende mwaka huu?
 
We endelea kuwa mwalim 2,hakuna cha USA wala Uk hapa...hzo mbwembwe tu.
 
Jaribu kutuliza akili jombaa! Huko unakotaka kwenda huenda kukawa more worse. Acha kudanganyika na Us.
 
sasa naomba kwanza uulizie utaratibu katika chuo chako kama wana utaratibu wa kutoa HIGHER DIPLOMA ka wanafunzi waliofika mwaka wa 2, kama wanatoa chukua then hairisha kwa miaka kadhaa ili uende kusoma uko USA, ukirudi chance yako ya kusoma utaikuta na utamalizia ule mwaka mmoja uliouhairisha, ni vyema ukauliza taratibu za chuo zilivyo kabla hujaamua. thanx 4that
 
thanks kaka..ntafanya hvyo
 
Back
Top Bottom