Naomba ushauri wa haraka, nimewafumania wanangu!

HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,612
2,566
Wana JF,

Kuna jirani yangu, mdada wa makamo ana watoto wawili wa kiume wa kuzaa mwenyewe na mmoja wa kiume wa ndugu yake anaishi nao huko boko. Amewafumani jana wakiwa wanafanya mchezo mchafu kwa zamu. Umri wao ni kati ya miaka 8 mpaka 11.

Anaomba ushauri juu ya nini cha kufanya maana anaona ibilisi mbaya ameingilia familia yake. Mawazo yake ni kuwa awatenganishe, kuwahamisha shule au awapeleke boarding au .....

Anahitaji ushauri wa haraka, kabla ya watoto hawajaharibika zaidi!

HP
 
akiwapelekaa boarding skul ndo kawaalalishiaaa kaa mchezo hakoo kanogeee...akae na ajaribu kuwa nao karibu,nakujuaa kitu gani kinaa wapelekea wafanye hivyoo.
 
hii dunia ni balaa
kuna rafiki yangu anaishi kinyumba na mtoto wa kigogo mmoja hapa tz
huyo kijana ana mtoto yupo la 3 shule moja ya academy amezaa na baa medi huko arusha
sasa wakatafuta house boy
hyo mdada na bwanake huwa wanaangalia picha chafu rum saa hawapo dogo nae anacheki hawafungi mlango wao
akamwambia kijana wao wajaribu mchezo
kijana kanogewa ikawa ndo gemu tena kule mnaita aertel sijui
my point hao wazazi ndo chanzo wawalee watoto wao vizuri hayo yasingetokea.watoto hawana malezi kabisaaa
huyu shoga yangu na bwanake wanaishi kihuni mbele ya mtoto na madhara ndo hayo
 
huko Arusha ni Airtel hapa Dar ni Tigo, kaazi kweli kweli
 
duu jamani dunia imeharibika pole sana mama! inabidi awachape viboko kwanza na kuwaonya pia ikiwezekana mtoto mmoja umtenge akakae na ndugu yako wa karibu kwa muda then umrudishe tena atakua kapata adabu ila kumuhamishia boarding sio chanzo cha yeye kuwa na adabu tena kule ndo ataenda kujifunza maovu zaidi. pia uwahusishe sana na mambo ya ibada na amri za mungu
 
hii dunia ni balaa
kuna rafiki yangu anaishi kinyumba na mtoto wa kigogo mmoja hapa tz
huyo kijana ana mtoto yupo la 3 shule moja ya academy amezaa na baa medi huko arusha
sasa wakatafuta house boy
hyo mdada na bwanake huwa wanaangalia picha chafu rum saa hawapo dogo nae anacheki hawafungi mlango wao
akamwambia kijana wao wajaribu mchezo
kijana kanogewa ikawa ndo gemu tena kule mnaita aertel sijui
my point hao wazazi ndo chanzo wawalee watoto wao vizuri hayo yasingetokea.watoto hawana malezi kabisaaa
huyu shoga yangu na bwanake wanaishi kihuni mbele ya mtoto na madhara ndo hayo

Asante kwa ufafanuzi, so nimshauri nini huyu mdada? Maana nahisi kapanic vibaya, maana alipokuja kuniomba ushauri, mimi mwenyewe niliishiwa nguvu kabisa!
 
Ishara ya mwisho wa dunia. Akiwapeleka Boarding school itakuwa anawapeleka wakaolewe. Bora aanze mikakati ya kuwaelimisha ubaya wa wanayo fanya bila ya kuwapa psychological trauma. Kama hawezi awapeleke kwa child psychologist. Lakini nina imani hata yeye anaweza kuwaelimisha. Kama akiwa firm, kwa umri huo wataelekea.
 
Asante kwa ufafanuzi, so nimshauri nini huyu mdada? Maana nahisi kapanic vibaya, maana alipokuja kuniomba ushauri, mimi mwenyewe niliishiwa nguvu kabisa!
1-aache kupiga gemu mbele ya watoto
2 .akae awakanye kwa ustaarabu na kuwaonyesha ni kitendo kibaya kabisa walichofanya3.awaombee
 
Wana JF,

Kuna jirani yangu, mdada wa makamo ana watoto wawili wa kiume wa kuzaa mwenyewe na mmoja wa kiume wa ndugu yake anaishi nao huko boko. Amewafumani jana wakiwa wanafanya mchezo mchafu kwa zamu. Umri wao ni kati ya miaka 8 mpaka 11.

Anaomba ushauri juu ya nini cha kufanya maana anaona ibilisi mbaya ameingilia familia yake. Mawazo yake ni kuwa awatenganishe, kuwahamisha shule au awapeleke boarding au .....

Anahitaji ushauri wa haraka, kabla ya watoto hawajaharibika zaidi!

HP
kwanza mpe pole,mwambie asi panic wala kukimbilia kutembeza bakora.
mi naamini katika hao watoto watatu kamoja ndo kajanja na ndo kanashawishi wenzake (labda kaliona kwenye hizi video za vibandani).
cha kufanya awahoji taratibu kabisa kila mtoto kwa wakati wake,lengo ni ku identify nani anawafundisha wenzie,akisha m identify ndo amshughulikie ipasavyo na hao wahanga afanye kazi ya kuwa rebuild confidence yao,hako katundu akishakajua akatengeneze sawasawa mpaka kasisahau hicho kisago maishani.
Finally and urgently watenganishwe vyumba vya kulala.
 
Atembeze Bakora Kwanza hrf Suala la kuwapeleka Boarding asithubutu hata kidogo.
 
1-aache kupiga gemu mbele ya watoto
2 .akae awakanye kwa ustaarabu na kuwaonyesha ni kitendo kibaya kabisa walichofanya3.awaombee

1. Thanx, nitamfikishia ujumbe though sina hakika kama anaweza kuwa anapiga game mbele za wale watoto, maana dada mwenyewe anaonekana kuwa ni mtu wa staha sana na mcha Mungu.

2. Point taken.
 
Du, nomba kuuliza, hivi inawezekana kwa watoto wa kiume miaka 8 na 11 kuwa na ashki ya mapenzi na viungo vyao vikafanya hiyo kazi?
 
Back
Top Bottom