Naomba ushauri: Mimi nafanya biashara na Wakinga je, nichukue tahadhari gani?

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,399
15,977
Habari za Muda kidogo,

Wakuu mimi ndugu yenu ni mpiga madili na pia ni mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi na umeme pia, Sasa katka biashara hizi ninazo fanya ni kwamba nafanya biashara na Wakinga kwa maana ya kwamba mm ndiyo nanunua mizigo kwao na Kisha na mm Kuja kuuza kwa Bei rejareja

Sasa kwa Muda nimekuwa nikifanya nao biashara bila kuniletea usumbufu wowote ila Sasa Hawa ndugu zetu wakinga Wana tahumiwa kuwa Ni watu washirikina Sana na ni watu wakupenda kutoana kafara, misukule n.k inasemekana ni jambo la kawaida wao kutoa kafara ndugu zao bila hofu

Kwa upande wa kubadili supplier nimewahi kuwatumia wachaga waniletee mizigo ila SASa changamoto ya Hawa jirani zangu ni kwamba wananiuzia vifaa kwa Bei ya juu mno kuliko wakingaa na ndio maana nikawahama na kudili na wakinga tu, na Sasa nimetengeneza urafiki wakaribu sana na wakinga mpaka sasa wananikopesha Hadi mizigo ya pesa ndefu bila hofu

Je, kuna watu Wana uzoefu na Hawa jamaa ambapo kwa Sasa hivi ni wao ndio vinara kwa biashara kwenda kufata mizigo China

Je, hawa jamaa bi wadhulumaji?

Je, ni matapeli?

Je wanaweza na mimi kuniloga
 
Wakinga ni watu waaminifu sana, sio matapeli, na kwa uzoefu huwa hawalogi watu wa nje bali wa nyumbani mwao, yaani family.

Unachotakiwa kujua ni kuwa kwenye biashara 90% wanatumia uchawi, bila kujali kabila.

So hata hao unaowadhania hawatumii uchawi nao ni mule mule.

Kama hofu ni ushirikina muombe Mungu akuongoze mahali ambapo utanunua kwa bei nzuri na wanaouza hawatumii uchawi.

Mungu atakuonyesha tu.
 
Nafikiri mtu yeyote aliekuwa mature anapaswa awe Makini ktk kila kitu anafanya, yaani usiamini mtu asilimia zote hata kama haja kufanyiwa baya.

Maana mwanadamu hubadilika.... Ila kuhusu wakinga kuwa wabaya, hayo ni maneno tu.

Na ukizingatia hofu ika ingia moyoni kwako hakuna rangi utaacha kuona.

Kwa usalama wako na maendeleo yako, acha kuwaza hasi.

Kama watu wamekwambia ni wabaya.

Huo ni uzoefu wao na sio wako.

Kwani mtu akikwambia ugali mbaya na wewe hujaona ubaya ni lazima kaamini wasemalo.

Waza chanya juu yao na hakuna baya kitakupata.

Wapendwa na uwaombee waendelee wema kwako.

Kama u. Kubali Sema aminaaa😁😁🙏
 
Wakinga ni watu waaminifu sana, sio matapeli, na kwa uzoefu huwa hawalogi watu wa nje bali wa nyumbani mwao, yaani family. Unachotakiwa kujua ni kuwa kwenye biashara 90% wanatumia uchawi, bila kujali kabila. So hata hao unaowadhania hawatumii uchawi nao ni mule mule. Kama hofu ni ushirikina muombe Mungu akuongoze mahali ambapo utanunua kwa bei nzuri na wanaouza hawatumii uchawi. Mungu atakuonyesha tu.
Sahihi
 
Unamtaja Mungu huku ukiwa umewasingizia ubaya watu kitu ambacho ni chukizo kwa huyo uliyemtaja.

Una uhakika % ngapi kwamba kweli hao watu wanaloga?unaamini hakuna mfanyabiashara anayekuwa na maendeleo mazuri bila kutumia uchawi,sasa niambie unajuaje Saint Anno II situmii uchawi kwenye biashara yangu na fulani anatumia uchawi?
 
Habari za Muda kidogo,

Wakuu mimi ndugu yenu ni mpiga madili na pia ni mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi na umeme pia, Sasa katka biashara hizi ninazo fanya ni kwamba nafanya biashara na Wakinga kwa maana ya kwamba mm ndiyo nanunua mizigo kwao na Kisha na mm Kuja kuuza kwa Bei rejareja
hulumaji?

Je, ni matapeli?

Je wanaweza na mimi kuniloga
Unajua ndyeki?
 
Kama unaamini kwenye ushirikina basi hakuna cha kukushauri hapa, imani ni kitu kinachojengwa kwa muda mrefu kupitia malezi, na mazingira tofauti tofauti unayopitia.... ni ngumu sana kuiondoa/kuivunja....

Zaidi nikushauri tu uwe unasali kwa imani yako, itakutengenezea unafuu flani kwenye akili yako na kukupunguzia mawazo, ila uhalisia ni kwamba uchawi ni stori za vijiweni
 
Back
Top Bottom