Naomba ushauri kwa aliyewai kununua tinga tinga fx robot

Habari wakuu,

Naombeni ushauri na ushuhuda kama kuna mtu aliyewaikununua tinga tinga robot kwaajili ya kutrade forex kutoka kwa billionaire forex academy
Kwanini unanunua robot kwenye market ambayo ina uncertainties ya kutosha?

Market ambayo 90% ya watu wanaunguza akaunti licha ya juhudi wanazoziweka?

Ila kila la heri ila nikuambie maroboti huwa wanatengenezwa na indicators ambazo zina lag with price, na tatizo ndo inapoanza apo, market ikiwa kwenye hali isioeleweka jiandae kwa losses za kutosha ila ikiwa clean, profit itakuwepo. Na hakuna robot anatoa 75% win rate hata 50% win rate. So hakikisha unafahamu hali ya soko ikoje kabla ya kufanya maamuzi ya kupurchase bot.

Na ujiulize, kama mtu ana make consistent returns kwanini auze bot tena kwa hela kubwa?
 
Mmmh ndugu yangu haya mambo sio ya kuamini kuhusu Robort

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi mkuu, ndontaka nijirithishe maana kwenye Instagram gram yake naona anaipromote nikajaribu kucheki comment nione kama kuna mtu atakuwa aliwaikununua akapigwa cjaona criticism yyte lakin bado nataka nijihahakishie zaid maan mtu anaweza futa comment huko instagram ambazo zina criticise product yake
 
Kwanini unanunua robot kwenye market ambayo ina uncertainties ya kutosha?

Market ambayo 90% ya watu wanaunguza akaunti licha ya juhudi wanazoziweka?

Ila kila la heri ila nikuambie maroboti huwa wanatengenezwa na indicators ambazo zina lag with price, na tatizo ndo inapoanza apo, market ikiwa kwenye hali isioeleweka jiandae kwa losses za kutosha ila ikiwa clean, profit itakuwepo. Na hakuna robot anatoa 75% win rate hata 50% win rate. So hakikisha unafahamu hali ya soko ikoje kabla ya kufanya maamuzi ya kupurchase bot.

Na ujiulize, kama mtu ana make consistent returns kwanini auze bot tena kwa hela kubwa?
Nashukuru sana mkuu nitayazingatia
 
Upo sahihi mkuu, ndontaka nijirithishe maana kwenye Instagram gram yake naona anaipromote nikajaribu kucheki comment nione kama kuna mtu atakuwa aliwaikununua akapigwa cjaona criticism yyte lakin bado nataka nijihahakishie zaid maan mtu anaweza futa comment huko instagram ambazo zina criticise product yake
Pia kumbuka kwenye comments kuna machawa wanalipwa pesa.
 
Upo sahihi mkuu, ndontaka nijirithishe maana kwenye Instagram gram yake naona anaipromote nikajaribu kucheki comment nione kama kuna mtu atakuwa aliwaikununua akapigwa cjaona criticism yyte lakin bado nataka nijihahakishie zaid maan mtu anaweza futa comment huko instagram ambazo zina criticise product yake
Hizo comment huwa zinatengenezwa ujue, dunia ya sasa kila kitu ni possible kama ameweza kupost pia ataweza ku comment vilevile. Kwanini usi invest muda wako full time kwamba ndio passion yako hapo ilipo
 
Ni kweli inapunguza risk at some point ila forex risk yake hainaga adabu...nilikua kweny kutafuta leverage tu mkuu huenda vitu vika turns out to true,labda
 
Km huwezi kutumia akili yako,au mpaka Leo huna strategy unayoitumia kujua ni mda gani unaweza kuingia na mda gani unaweza kutoka,achana na forex maana roboti haliwezi kushindana na price makers
 
Mkuu kwa jinsi wanavyoelezea kazi ya hizo robot ni kusoma sign za kununua na kuuza then lina ingia na kutoka lenyewe automatically,sasa ndo nlikua natafuta mweny experience nayo
 
Sina experience ya kutumia roboti,na sijawahi kutrade hata mwaka mmoja so sijui vitu vingi japo kutumia roboti haitasaidia kitu
 
Unaexperience ya mda gani fx mkuu,inaoneka wewe matunda unayapata unipe mwongozo na mimi
 
Usema ukweli bro! Niliipenda Sana forex lkn ilinikataa,kusoma both news, indicator s sijui market prediction,kichwa kilikuwa kinapata Moto,Ila ingekuwa Kuna chuo bongo Cha kusoma impractical way Basi ningefanya hii biashara wengi wanaojikuta sijui 2anafundisha hamna kitu
 
So wanaofundisha forex tz hawapigagi hela kwenye soko?🤣
 
Usema ukweli bro! Niliipenda Sana forex lkn ilinikataa,kusoma both news, indicator s sijui market prediction,kichwa kilikuwa kinapata Moto,Ila ingekuwa Kuna chuo bongo Cha kusoma impractical way Basi ningefanya hii biashara wengi wanaojikuta sijui 2anafundisha hamna kitu
Nimekupata, kumpata mtu sahihi wakuktrain hii kitu ndo mziki uko hapo kabsa
 
Usema ukweli bro! Niliipenda Sana forex lkn ilinikataa,kusoma both news, indicator s sijui market prediction,kichwa kilikuwa kinapata Moto,Ila ingekuwa Kuna chuo bongo Cha kusoma impractical way Basi ningefanya hii biashara wengi wanaojikuta sijui 2anafundisha hamna kitu
Greedy is the killer In forex trading...all strategies are profitable. Only we have bad traders
 
Back
Top Bottom