Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

Habarini ndugu zangu,

Sasa nimekuja na idea moja kamu mwanzo mlivyonipa ushauri kwa kuwa nina mtaji wa million tatu, nimeona ni bora nispecialize kwenye kufungua duka la vifaa vya umeme pekee.

Sasa nilikuwa naomba je ni vifaa gani natakiwa nianze navyo kuviweka kwa shop yaani ni fast moving, pia kwa Dodoma mjini ni maduka gani naweza pata kwa bei ya jumla na bei ndogo?
 
Pia nilikuw natak nichanganye n misumari, binding wire pmj na kanch wire
 
Holder
Jaction box
Main switch
Waya
Condi.. pipe
Bulb
Wanakuja, Mimi sio fundi
 
Habarini ndugu zangu,sasa nimekuja na idea moja kam mwanzo mlivyonipa ushauri kwa kuwa nina mtaji wa million tatu, nimeona ni bora nispecialize kwenye kufungua duka la vifaa vya umeme pekee sasa nilikuwa naomba je ni vifaa gani natakiwa nianze navyo kuviweka kwa shop yaan n fast moving, pia kwa Dodoma mjini ni maduka gani naweza pata kwa bei ya jumla na bei ndogo?
 
Conduit bundle moja moja yaani ngumu na nyepesi
Square box plastic nyeusi na nyeupe
Metal square box
Vini tape
Saddle clips 22mm
Twin cable 1.5mm²
2.5mm²
4mm²
Holders
Energy savers
Earth rods
Earth lead 2.5mm²
Switch aina mbali mbali
Socket
Kwa hivyo hapo juu ni muhimu japo itabidi ununue kwa uchache uchache kulingana na mtaji wako
 
Kwa hardware naona mzee Mil 3 ndogo. Sijui target yako ni mjini au? Mil 3 ungeangalia labda hardware upande wa:

1. Vifaa vya umeme tu.
2. Vifaa vya mabomba tu (plumbing)
Bomba tu??? Usimdanganye mwenzio, plumbing vifaaa ghalama sana, fikiria hand wash basin complete zipo ambazo Bei ya JUMLA 280,000,ataweka ngapi? Pvc pipe? Ips pipe? Vipi gate valve?
 
Bomba tu??? Usimdanganye mwenzio, plumbing vifaaa ghalama sana, fikiria hand wash basin complete zipo ambazo Bei ya JUMLA 280,000,ataweka ngapi? Pvc pipe? Ips pipe? Vipi gate valve?
Hand wash basin ni sanitary mzee....
 
Msimu wa nyanya ninyanyue umekaribia Kama una roho ngumu twende shamba ndani miez 3–5 utakua na million 15–40

Baada ya hapo utachagua kati ya kubaki hombolo au kurudi mkonze.

Asante kwa kunisikiliza.
Unataka apotee kabisa au sio
 
CHULight LED bulbs 5W
TUNAUZA JUMLA:- Tsh.1,300/pc
:- TUNATUMA HADI MIKOANI
BOOKING:- 0674 745 463
Screenshot_20231006-122315_1696586334316.jpg
 
Back
Top Bottom