Naomba ushauri juu wa huyu mwanamke

Simamia unachokiamini kijana, ila ushauri wangu kwako OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA.

Mwanamke akikupenda kwanza atakuheshimu, atakujali, atakusikiliza na atavumilia mapungufu yako ila sasa jichanganye uoe mwanamke unayempenda sana wewe yeye asiwe anakupenda sana na ajue kama unampenda sana hapo ndio utajua maana ya ndoa ndoano
 
Ulishamuumiza huyo dada kwahiyo kuwa makini isijekuwa wakati unazama kwake yeye ndio anatoka hamna rangi utaacha ona na vile karma is roaming around omba sana asibadilike na asijue kwamba kwa sasa unamuelewa sana.
 
7zf4g5.jpg
 
Habari wana Jf i hope wote wazima wa afya na mko weekend njema. Mnuvumilie sio muandishi mzuri sana ningependa kuleta kisa changu na kuomba ushauri pia juu ya huyu mwanamke.

Mimi ni kijana wa miaka 26 na mzaliwa wa dar es salaam. Miaka ya nyuma kidogo nilikuwa mtumiaji mzuri sana wa social media hasa Facebook nilikutana na mdada kwenye mtandao huo pendwa tumpe jina la Maryam (sio jina halisi) na akiwa mkoa mwengine tuliwa tunachat almost everday then nili jaribu kumu approach before we meet na alionekana mwenye kuvutiwa na mm na kunipenda but sikuwa mwenye mapenzi ya dhati nae wala kuvutiwa nae.

End of the day Maryam alikuja dar kwa ajili yangu na tukachukua room kwenye hotel tulikaa for two days n we sex for de first we meet. Then akaenda kwa sister ake ambae ameolewa dar alikaa for one week kwake then akarud mkoani kuendelea na kaz alikuwa muajiriwa wa serikalini akiwa mwenye miaka 24.

Tuliendelea na mauhusiano but kwangu niliona kama usumbufu nia yangu ilikuwa HIT n' RUN balaa lilianzia hapa ndugu zangu huyo mwanamke hakujua kuachika ni mtu wa kulia kila siku nikiwa na ignore her texts and calls.

Nilijaribu kumwambia sina hisia na wewe na wala sina mapenzi ya dhati na wewe na i block her everywhere baada ya kuona kinganganizi sana na kunisumbua sana na hasa kulia mda wote alipokuwa akinipigia nilikuwa namhurumia na kujutia kumfahamu pia.

Kwenye harakati za kumblock hakuwa ananipata kwa simu yake na kuanzia kutumia simu za watu wengine hata kupitia mpita njia kumuamba simu na kunipigia huku akilia kuniomba nimsameh na nimu unblock na kutaka kuongea na mm nilifanya hivyo kwa huruma yangu.

Tuliendelea kuongea na japo sikuwa nampenda ili kumridhisha asiwe mwenye kulia mda wote na kila akipata likizo anakuja dar kwa ajili yangu i fu*k her the way i want and she's really cute sikuweza kuacha nyama ipite hivi hivi na alibeba mimba yangu but haikuwa risk na sikukataa mimba but iliharibika ikiwa na miezi mitano and still tupo kwenye relationship japo nilikuwa na mipango ya kuoa mwanamke mwengine tofauti.

Maryam alihamishwa kikazi na kuja dar baada ya kufika dar nilimsaidia kumpangishia room na kusafirisha vitu vyake kuja dar rasmi akahamia kwake na hatuwa tunaishi pamoja nilikuwa naenda kwake kulala hasa weekend kula na kumla mpishi na kuanzia hapo najikuta nampenda huyu mdada for de way she care about me na kuniogesha am just kidding bhana haha

Guys sikuwa nampenda ila for now i love her a lot n i care about her she's really lovely jamani apewe mauwa yake ameshani overdose i wish to marry her but idk kutoka facebook mpka wife to be.

Kutoka kwenye jukwaa pendwa wakubwa zangu i hope wengi mmenizid kwa umri naombeni ushauri kijana wenu je mnaona anafaa kuwa mke wangu na situation tulizopitia au nisubiri comment za kataa ndoa?
Moja: Uwe unatumia Kiswahili tu katika uandishi wako unaeleweka vizuri tu,ayo mambo ya kuchanganya unaharibu sana . Unakua kama Shabani wa ZAMALADI mwenye nyumba ya 'ULISI'

Pili: Kwa maelezo yako huyo binti anakupenda, ila kwa vile hua tunajiona wajanja sana tukipendwa basi huyo binti unamuona wa kuja .
Ushauri wangu: Mstiri huyo binti na Mungu wa mbinguni atawabariki sana na uzao wenu utabarikiwa.
Mwisho:Mimi ni muumini wa kataa ndoa, Ila wewe oa tu😅
 
Habari wana Jf i hope wote wazima wa afya na mko weekend njema. Mnuvumilie sio muandishi mzuri sana ningependa kuleta kisa changu na kuomba ushauri pia juu ya huyu mwanamke.

Mimi ni kijana wa miaka 26 na mzaliwa wa dar es salaam. Miaka ya nyuma kidogo nilikuwa mtumiaji mzuri sana wa social media hasa Facebook nilikutana na mdada kwenye mtandao huo pendwa tumpe jina la Maryam (sio jina halisi) na akiwa mkoa mwengine tuliwa tunachat almost everday then nili jaribu kumu approach before we meet na alionekana mwenye kuvutiwa na mm na kunipenda but sikuwa mwenye mapenzi ya dhati nae wala kuvutiwa nae.

End of the day Maryam alikuja dar kwa ajili yangu na tukachukua room kwenye hotel tulikaa for two days n we sex for de first we meet. Then akaenda kwa sister ake ambae ameolewa dar alikaa for one week kwake then akarud mkoani kuendelea na kaz alikuwa muajiriwa wa serikalini akiwa mwenye miaka 24.

Tuliendelea na mauhusiano but kwangu niliona kama usumbufu nia yangu ilikuwa HIT n' RUN balaa lilianzia hapa ndugu zangu huyo mwanamke hakujua kuachika ni mtu wa kulia kila siku nikiwa na ignore her texts and calls.

Nilijaribu kumwambia sina hisia na wewe na wala sina mapenzi ya dhati na wewe na i block her everywhere baada ya kuona kinganganizi sana na kunisumbua sana na hasa kulia mda wote alipokuwa akinipigia nilikuwa namhurumia na kujutia kumfahamu pia.

Kwenye harakati za kumblock hakuwa ananipata kwa simu yake na kuanzia kutumia simu za watu wengine hata kupitia mpita njia kumuamba simu na kunipigia huku akilia kuniomba nimsameh na nimu unblock na kutaka kuongea na mm nilifanya hivyo kwa huruma yangu.

Tuliendelea kuongea na japo sikuwa nampenda ili kumridhisha asiwe mwenye kulia mda wote na kila akipata likizo anakuja dar kwa ajili yangu i fu*k her the way i want and she's really cute sikuweza kuacha nyama ipite hivi hivi na alibeba mimba yangu but haikuwa risk na sikukataa mimba but iliharibika ikiwa na miezi mitano and still tupo kwenye relationship japo nilikuwa na mipango ya kuoa mwanamke mwengine tofauti.

Maryam alihamishwa kikazi na kuja dar baada ya kufika dar nilimsaidia kumpangishia room na kusafirisha vitu vyake kuja dar rasmi akahamia kwake na hatuwa tunaishi pamoja nilikuwa naenda kwake kulala hasa weekend kula na kumla mpishi na kuanzia hapo najikuta nampenda huyu mdada for de way she care about me na kuniogesha am just kidding bhana haha

Guys sikuwa nampenda ila for now i love her a lot n i care about her she's really lovely jamani apewe mauwa yake ameshani overdose i wish to marry her but idk kutoka facebook mpka wife to be.

Kutoka kwenye jukwaa pendwa wakubwa zangu i hope wengi mmenizid kwa umri naombeni ushauri kijana wenu je mnaona anafaa kuwa mke wangu na situation tulizopitia au nisubiri comment za kataa ndoa?

Muoe mwaya, utaishi maisha matamu sana trust me
 
Sasa hakuna rangi utaachaona wewe ndoumeingia hivyo na mwenzako ndo anatako hivyo.
Nimekaa paleee swala la muda tu utakuja kuniambia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom