Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Nadhani ni kiwango cha hormone testosterone inayozalishwa kwa wingi kwenye baadhi ya miili ya wanaume na wengine kufikia hata hatua ya kuwa na baadhi ya maumbile ya kike kama kuota mtindi kipindi cha balehe

Sasa bhasi mojawapo ya kichocheo cha uzalishaji wa manii ni hormone tajwa hapo juu pamoja na fsH Manii inapokuwa produced huwa inatunzwa kwenye vas deferens na hii ni ongoing process sio kama mwanamke anayetoa yai moko au bela kila mwezi

Haya kwa akili yako unategemea ile mirija inayohifadhi sperm ikijaa nini kinatokea. Ndio maana kuna jamaa hapo juu alikwambia ukikwepa nyeto jiandae kukutana na ndoto nyevu kutokana na rapid productivity of sperm in your reproductive system.

Hivyo we endelea tuu na chaputa mpaka pale utakapopata wa huba na wa kumtolea machungu na nnakuhakikishia watu wa aina tajwa hapo juu huwa hawana matatizo sijui ya nguvu za kiume utampelekea moto kama kawa

Viva chaputa,Ahsante
 
Mimi kwa ushauri wangu, jitahidi sana upunguze au uache kama una manzi. Lakini kama upo single jitahidi sana kupunguza. Wazungu wanasema "Everything in moderation" wakimaanisha kila kitu kinapaswa kufanyika kwa wastani.

Ni wazi kwamba kwa nyingi za Africa bado hatujaweza kutambua na kukubaliana na madhara ya punyeto na porn. Kama punyeto ikifanyika kwa kiwango kikubwa itapelekea kushuka chini kwa liwango cha testosterone ambayo ni hormone ya kiume, hiyo itapelekea wewe kuanza kuwa feminine (kupungua ile hali ya uanaume) kwa dalili zifuatazo:

1. Sauti itapungua uzito, na kuwa nyembamba isiyotoka kifuani. Tunafahamu kwamba sauti kuwa nzito na kungurumia kutoka kifuani ni msaada wa testosterone.

2. Kupungua kwa ujazo na ukakamavu wa misuli. Yaani kwa kawaida testosterone inasaidia sana katika kukomaza misuli, kujijenga vizuri na kuleta muonekano wa kiume zaidi. Hata muundo wa taya za kiume hukaa kiume zaidi pindi anapokuwa na kiwango cha kutosha cha testosterone.

3. Mwendo wa kutembea kutokuwa mkakamavu.

4. Kuwa mchovu na kulala masaa mengi kuliko kawaida, ama kuamka bila kujiskia hali ya kutoka kupumzika.

5. Kupungua kwa mvuto wa mwanaume kwa mwanamke. Kama nilivyozungumzia kuwa hormone za kiume zinaplay part kubwa sana katika kuimarisha hizo quality tajwa hapo juu, ikiwemo pia kuimarisha confidence, kama tunavyojua wanawake wanavutiwa na mwanaume confident, na kupungua kwa testosterone kutokana na upigaji punyeto hupelekea kushuka kwa ujasiri. Hivyo kupiga punyeto sana hupelekea mvuto wako kupungua kwa wanawake.

6.Kutokujiamini, sifa kubwa ya mwanaume ni kujiamini hivyo punyeto inaweza kukupelekea kutokujiamini na hii itafanya dada zetu kutovutiwa na kutokujiamini.

7. Guilty / Hatia ya kubeba mzigo wa mawazo kutokana na uraibu addiction.

C12720DE-7E32-4E4B-9CA0-02274C73E85A.jpeg

Ukipiga punyeto sana, you are basically becoming a beta male.
 
Nadhani ni kiwango cha hormone testosterone inayozalishwa kwa wingi kwenye baadhi ya miili ya wanaume na wengine kufikia hata hatua ya kuwa na baadhi ya maumbile ya kike kama kuota mtindi kipindi cha balehe...
mtaturudisha chaman nyie
 
M
Njia sahihi ya kukufanya uache hiyo nakushauri kisaikolojia.

Kila ukianza kujichua muweke kwenye fikra Mama yako mzazi au dada yako mudi utakata, kila ukitaka kugusa vuta hisia za mama basii hutarudia tena.
Muhuni kupita wahuni woote
 
Hiki ni kisa cha kweli cha Bwana Alex.

"Mimi ni kijana ambaye nina miaka 26. Nimemaliza chuo miaka miwili iliyopita. Nilianza kuangalia picha na video za xxx tangu nipo sekondari...
Yang'oe macho yako uyatupe.

Mk 9:47​

Jicho lako likikukosesha, ling’oe, ulitupe; ni afadhali kuingia katika ufalme wa Mungu, una chongo, kuliko kuwa na macho mawili, na kutupwa katika jehanum
 
Mimi kwa ushauri wangu, jitahidi sana upunguze au uache kama una manzi. Lakini kama upo single jitahidi sana kupunguza. Wazungu wanasema "Everything in moderation" wakimaanisha kila kitu kinapaswa kufanyika kwa wastani.
Ni wazi kwamba kwa nyingi za Africa bado hatujaweza kutambua na kukubaliana na madhara ya punyeto na porn. Kama punyeto ikifanyika kwa kiwango kikubwa itapelekea kushuka chini kwa liwango cha testosterone ambayo ni hormone ya kiume, hiyo itapelekea wewe kuanza kuwa feminine (kupungua ile hali ya uanaume) kwa dalili zifuatazo:
1. Sauti itapungua uzito, na kuwa nyembamba isiyotoka kifuani. Tunafahamu kwamba sauti kuwa nzito na kungurumia kutoka kifuani ni msaada wa testosterone.
2. Kupungua kwa ujazo na ukakamavu wa misuli. Yaani kwa kawaida testosterone inasaidia sana katika kukomaza misuli, kujijenga vizuri na kuleta muonekano wa kiume zaidi. Hata muundo wa taya za kiume hukaa kiume zaidi pindi anapokuwa na kiwango cha kutosha cha testosterone.
3. Mwendo wa kutembea kutokuwa mkakamavu.
4. Kuwa mchovu na kulala masaa mengi kuliko kawaida, ama kuamka bila kujiskia hali ya kutoka kupumzika.
5. Kupungua kwa mvuto wa mwanaume kwa mwanamke. Kama nilivyozungumzia kuwa hormone za kiume zinaplay part kubwa sana katika kuimarisha hizo quality tajwa hapo juu, ikiwemo pia kuimarisha confidence, kama tunavyojua wanawake wanavutiwa na mwanaume confident, na kupungua kwa testosterone kutokana na upigaji punyeto hupelekea kushuka kwa ujasiri. Hivyo kupiga punyeto sana hupelekea mvuto wako kupungua kwa wanawake.
6.Kutokujiamini, sifa kubwa ya mwanaume ni kujiamini hivyo punyeto inaweza kukupelekea kutokujiamini na hii itafanya dada zetu kutovutiwa na kutokujiamini.
7. Guilty / Hatia ya kubeba mzigo wa mawazo kutokana na uraibu addiction.

View attachment 1732978
Ukipiga punyeto sana, you are basically becoming a beta male.
Ndugu nashukuru sana kwa maoni yako, hakika yalinisaidia sana kuachana na tatizo la punyeto.
 
Mt 11:28-30​

Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.
Amen
 
Ndugu Amalrik TZ ,

Pole kwa hali hiyo , ili uweze kuishinda hali hii unahitaji kweli kuwa serious, kama uko serious nakushauri soma hivyo vipeperushi viwili , kimoja kina maelezo ya watu kama wewe waliokuwa na changamoto hii na wakapata msaada ambao uliwawezesha kutoka jumla katika utumwa huu. Wasiliana na mchungaji Dickson Kabigumila kwa namba hii 0655 466675, kwa msaada zaidi.
IMG-20210428-WA0004.jpg

IMG-20210421-WA0003.jpg
 
Kuacha moja kwa moja sio jambo rahisi.Chakufanya punguza dozi kama ulikuwa unajichua kwa siku mara mbili basi piga mara moja.
Alafu kama kwa wiki ulikuwa inapiga siku 5 pungiza piga siku 3.
Punguza hivyohivyo baada ya miezi miwili utaona mabadiliko baadae utaacha kabisa.
Nb; usipende kukaa pekeyako penda kujichanganya utakosa muda wakutamani kujichua.
 
M
Njia sahihi ya kukufanya uache hiyo nakushauri kisaikolojia.

Kila ukianza kujichua muweke kwenye fikra Mama yako mzazi au dada yako mudi utakata, kila ukitaka kugusa vuta hisia za mama basii hutarudia tena.
Mmh
 
Ndugu Amalrik TZ ,

Pole kwa hali hiyo , ili uweze kuishinda hali hii unahitaji kweli kuwa serious, kama uko serious nakushauri soma hivyo vipeperushi viwili , kimoja kina maelezo ya watu kama wewe waliokuwa na changamoto hii na wakapata msaada ambao uliwawezesha kutoka jumla katika utumwa huu. Wasiliana na mchungaji Dickson Kabigumila kwa namba hii 0655 466675, kwa msaada zaidi. View attachment 1775479
View attachment 1775474
Nashukuru nitamtafuta.
 
Back
Top Bottom