Naomba ushauri: Ameniambia "Baba wa nini?"

Restless Hustler

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
4,742
17,982
Nilikuwa nataka nikajitambulishe kwa wazazi wa huyu binti sasa katika kumhoji napaswa kupeleka zawadi gani? Nikaona ananiorodheshea zawadi za mama yake tu.

Nikamuulize zawadi za baba je? Akajibu "baba wa nini wewe? Wewe fuata maelekezo ninayokupa"

Nimeshindwa kuelewa maana alisema baba yake yupo hai
 
Na hautomuelewa kamwe hadi akupige na kitu kizito kichwani.

20240115_233655.jpg


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Labda babake alishafariki...

Labda ni deadbeat dad na hajawahi kuwa kwenye maisha yake...

Labda hamfahamu tangu azaliwe...

Labda....

Muulize vizuri akwambie.

Changamoto nyingi za mabinti hutokana na mahusiano yao na baba zao hasa utotoni. Binti aliyetelekezwa na babake (abandonment) au aliyekuwa abused na babake (kingono, kihisia, kimwili...) ana uwezekano mkubwa sana wa kuwa na changamoto nyingi za kisaikolojia huko ukubwani mf. Kutokujiamini, kutokujithamini, hasira zisizo na sababu, utumiaji wa vileo kupindukia, kutafuta kupendwa na kufurahisha wengine kwa gharama yo yote ile, kutojali hata umfanyie nini, kutoamini katika mapenzi ya kweli, kuwa narcissist, kuwa mchafu, kutafuta sana attention; na mengineyo mengi.

Hili ni jambo la muhimu sana. Mwambie akwambie ukweli.
 
Labda babake alishafariki...

Labda ni deadbeat daddy hajawahi kuwa kwenye maisha yake...

Labda hamfahamu tangu azaliwe...

Labda....

Muulize vizuri akwambie.

Changamoto nyingi za mabinti hutokana na mahusiano yao na baba zao hasa utotoni. Binti aliyetelekezwa na babake (abandonment) au aliyekuwa abused na babake (kingono, kihisia, kimwili...) ana uwezekano mkubwa sana wa kuwa na changamoto nyingi za kisaikolojia huko ukubwani mf. Kutokujiamini, kutokujithamini, hasira zisizo na sababu, utumiaji wa vileo kupindukia, kutafuta kupendwa na kufurahisha wengine kwa gharama yo yote ile, kutojali hata umfanyie nini, kutoamini katika mapenzi ya kweli, kuwa narcissist, kutafuta sana attention; na mengineyo mengi.

Hili ni jambo la muhimu sana. Mwambie akwambie ukweli.
Daaaah umeusema ukweli mchungu!!!!
 
Nilikuwa nataka nikajitambulishe kwa wazazi wa huyu binti sasa katika kumhoji napaswa kupeleka zawadi gani? Nikaona ananiorodheshea zawadi za mama yake tu.

Nikamuulize zawadi za baba je? Akajibu "baba wa nini wewe? Wewe fuata maelekezo ninayokupa"

Nimeshindwa kuelewa maana alisema baba yake yupo hai
Hafai huyo "fuata maelekezo niliyokupa"
Kwani yeye ni luteni, mbona commanding language.... Piga chini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom