Naomba ufananuzi wa huu muda walioweka sekretarieti ya ajira kwenye interview

Davey15

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
203
215
Naomba wanajamvi mnipe ufanunuzi huu muda wa interview hapa walipoweka saa 1:00 am je hii saa ngapi? je ni sahihi au wamekosea
time.JPG
 
Hao wahuni saa 1 kamili asubuhi unakuwa ulilala hapo ukumbini huo ni ufala
Hiyo ni saa saba usiku,mkuu.Itakua ni typing error,alimaanisha 7:00 AM ambayo ni saa moja asubuhi.
 
Hiyo ni saa saba usiku,mkuu.Itakua ni typing error,alimaanisha 7:00 AM ambayo ni saa moja asubuhi.
mkuu hiyo 1:00 am ndo imenichanganya sana aisee nimeshangaa saa saba usiku inetrview gani hapo itakua zote saa moja saubhu
 
Hiyo ni saa 1 kamili asubuhi mbona ni kawaida maana hata mimi nilifanya usaili saa 6 mchana lakini nilifika saa 12:45 asubuhi nikitoka Mbezi Luis naenda kufanya usaili DUCE
 
mkuu hiyo 1:00 am ndo imenichanganya sana aisee nimeshangaa saa saba usiku inetrview gani hapo itakua zote saa moja saubhu
Obvious,hiyo ni saa moja asubuhi,hiyo ni typographical error tu,mkuu.Kila la heri.
 
Hiyo ni saa 1 kamili asubuhi mbona ni kawaida maana hata mimi nilifanya usaili saa 6 mchana lakini nilifika saa 12:45 asubuhi nikitoka Mbezi Luis naenda kufanya usaili DUCE
sawa kaka lakini unaona na hizo za saa hapo hawajaweka sawa maana hapo 1:00 am unasema ni saa moja asubh je hiyo saa 7:00 am nayo utasema ni saa ngapi?
 
Back
Top Bottom