Kanyafu Nkanwa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2010
- 849
- 103
Its a well known fact that suicide is a major problem in the Canadian military. Denial is not a river in Egypt
Naamini wote tuko hapa JF kujifunza na tunazidiana. Kwa anayejua lugha tafadhali anipe maana ya hii sentence ya pili. Nimeweka mbili ili ieleweke. Story ilikuwa kuelezea crush ya Military craft iliyotokea leo hapo Alberta.