Naomba serikali inipeleke India nikatibiwe Mafua

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Wadau siku ya 3 leo nasumbuliwa na mafua,tonsils na kikohoz kikavu,nimetumia dawa (pen-v) bado hali haijatengemaa,tangu jana nimeshndwa kufundisha,maana makamas yanadondoka tu,naiomba serikali yangu inipeleke INDIA nikatibiwe,kama kuna mdau anaujua mchakato basi auweke hapa ili kila mtu ajue anawezaje kupata fursa ya kupelekwa India akatibiwe
 
Hata mimi nimejikuta naota ndoto mara kwa mara...naomba serikali inipeleke India kwa uchunguzi na matibabu zaidi
 
Wadau siku ya 3 leo nasumbuliwa na mafua,tonsils na kikohoz kikavu,nimetumia dawa (pen-v) bado hali haijatengemaa,tangu jana nimeshndwa kufundisha,maana makamas yanadondoka tu,naiomba serikali yangu inipeleke INDIA nikatibiwe,kama kuna mdau anaujua mchakato basi auweke hapa ili kila mtu ajue anawezaje kupata fursa ya kupelekwa India akatibiwe
Hivi kwanini India tuu!!!! kuna kipindi nilikuwa nimesafiri kwenda India for short course nilipo rudi kuna mshikaji akaniuliza "nini hasa kina kusumbua mpaka uiende India kwani Muhimbili walishindwa?"
 
rufaa ya mui 2 ni india,naiman ntapona,coz cwaamin wataalam wa hapa na cziamin hospital za hapa,maana vi0ngoz na serikal yangu ndio wa kwanza wasi0amini
 
Watu wa hazina mko wapi?tajen gharama,uhamiaji we need info,muimbili nambien chet cha rufaa napata wapi?
 
Mafua dawa yake kiroba, ukipiga kile cha konyagi cha buku, kutwa mara mbili kwa siku tatu, haina shida kabisa.
 
Piga fegi, tumbaku na juisi ya pilipili. Nakuhakikishia hutachukua robo saa kabla ya kupona kabisa.
 
i lyk ur swaggz..mi ndo serikali,nambie kiasi gani kinahitajika..bt kumbuka kuna india nyingi cku hz,mi ntakupeleka kule uhindini dnt wory
 
Vunja ukimya, sema wazi kuwa hujui unachoumwa, ila mara ya mwisho ulifanya mapenzi na papai lililoiva, ulilitoboa na kulitengenezea katundu. Baada ya hapo sasa kilichofuata ni kupata hamu mara mia zaidi, unatamani hata kuzipamia daladala umalize hamu yako ya safari
 
Dawa yake ni ndogo tu, kunywa maji ya moto yaliyochanganywa na chumvi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom