- Thread starter
- #21
Dawa yake ni ndogo tu, kunywa maji ya moto yaliyochanganywa na chumvi.
nimejaribu ku2mia jana ucku na leo asbui,
Dawa yake ni ndogo tu, kunywa maji ya moto yaliyochanganywa na chumvi.
unaweza kuomba hata bwana akakupumzisha tu
nayo ni maombi vilevile.
Mafua dawa yake kiroba, ukipiga kile cha konyagi cha buku, kutwa mara mbili kwa siku tatu, haina shida kabisa.
Piga fegi, tumbaku na juisi ya pilipili. Nakuhakikishia hutachukua robo saa kabla ya kupona kabisa.
Labda itakuwa rahisi zaidi ukigombea ubunge
Vunja ukimya, sema wazi kuwa hujui unachoumwa, ila mara ya mwisho ulifanya mapenzi na papai lililoiva, ulilitoboa na kulitengenezea katundu. Baada ya hapo sasa kilichofuata ni kupata hamu mara mia zaidi, unatamani hata kuzipamia daladala umalize hamu yako ya safari
unaweza kuomba hata bwana akakupumzisha tu
nayo ni maombi vilevile.
Bwana yupi? Naomba usimtaje yule muuza genge mwenye asili ya Kipemba
kwani kule unaweza kufika kwa usafi wa bus?
nimejaribu ku2mia jana ucku na leo asbui,
nimejaribu ku2mia jana ucku na leo asbui,
Bwana yupi? Naomba usimtaje yule muuza genge mwenye asili ya Kipemba
nenda loliondo mkuu, wao wakienda india sisi loliondo kwa babu.
kuna wataalamu wengi wa mitishamba. Nenda kawaone.
Kunywa thumu
Inner sanctum if you may.....
mi si mnywaji wa alkoholi!