naomba msaada wale wa st.John university

naomba mnisaidie jinsi ya kupata form za accomodation st.john.

ingia kwenye web ya chuo www.sjut.ac.tz then download joining instruction...ambamo ndani yake ndo kuna form za accomodation...afu nahic kama umechelewa ko ikiwezekana kesho uitume kwao kabla ya deadline....karib SJUT
 
Mimi ninayo joining instructn ya gheto.
Ukikosa hall three nitafute...nikuelekeza by the way unakaribishwa mazengo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom