Naomba msaada wa wakili

McEM

Member
May 7, 2011
64
3
Kuna kesi ambayo inamuhusu kikongwe na tajiri feki mmoja hapa kilosa. Ina husu nyumba ya kikongwe ambayo huyu bwana anadai kuwa aliuziwa na mtoto wa kikongwe huyo ambaye kwa sasa ni marehemu. Kwa mara ya kwa kesi hii ilipelekwa mahakamani mwaka 1996 bila vielezo vyote. Na huyu bwana aliambiwa kuwa amtafute muhusika wa kuuza nyumba amrejeshe pesa yake kwa kuwa nyumba si mali ya muuzaji. Huyu bwana hakufanya hivyo. Mwaka 2006 huyu bwana ameanzisha tena hii kesi baada na hali kuwa anajuwa mlalamikiwa wake kwa sasa ni marehemu. Na sasa ana vielezo feki kibao mpaka nyaraka za serikali. Mpaka sasa hi kesi ilikuwa mahaka ya aridhi morogoro na imetolewa hukumu amepewa haki. Sasa kuna mama ambaye anafuatilia hii kesi kwa niaba ya huyo kikongwe,ametakiwa kutoa shs 16000/= na ametoa na risti lakini wamempa sio nakala ya hukumu baada ya kwenda nayo mahakama kuu dar. Hivyo amepewa karatasi alete morogoro ili wapeleke hilo faili.
 
we usiamini mawakili hakuna nyoka kama hao bora aende kwenye tume za haki za binaadamu wamsimamie,nina experience kubwa na mahakama zetu. CHOMBO HIKI HAKITAKIWI KUWA HURU PANA BALAA KUBWA HAPA
 
Back
Top Bottom