Naomba msaada wa taarifa hizi za kujifungua Hospitali ya Taifa Muhimbili

Mubby777

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
1,638
5,646
Naomba mtu mwenye kujua gharama za kujifungua kwa upasuaji kwa Muhimbili ni kiasi gani?

Na ikitokea mtoto kazaliwa njiti process zinakuwaje za kumweka kwenye chupa? Na gharama zake zikoje? Naomba mwenye uelewa anisaidie.
 
Mkuu hakuna kitu kama kumuweka kwenye chupa,
Ulijifungua mtoto Njiti, atakuwa admitted NICU (neonatal ICU) Huko atapata huduma zote zinazostahili mpaka atapo tengamaa na kufikisha kg 1.5,

Kuhusu gharama atalipa dawa alizotumia, na cost nyingine kulingana na mahitaji yake, ila sio kubwa sana
 
Huko NICU mtoto atapewa huduma ikiwemo kuwekwa kwenye vitanda vyenye joto, na mashine za kupumulia kama hana uwezo wa kupumua vema,
Kingine, inabid uwe umezaliwa pale au umepewa rufaa kwenda pale, huwezi toka huko ukaenda na njiti wako pale
 
Mkuu hakuna kitu kama kumuweka kwenye chupa,
Ulijifungua mtoto Njiti, atakuwa admitted NICU (neonatal ICU) Huko atapata huduma zote zinazostahili mpaka atapo tengamaa na kufikisha kg 1.5,

Kuhusu gharama atalipa dawa alizotumia, na cost nyingine kulingana na mahitaji yake, ila sio kubwa sana
Gharama zake zinaweza kurange kias gan bos
 
Mkuu hakuna kitu kama kumuweka kwenye chupa,
Ulijifungua mtoto Njiti, atakuwa admitted NICU (neonatal ICU) Huko atapata huduma zote zinazostahili mpaka atapo tengamaa na kufikisha kg 1.5,

Kuhusu gharama atalipa dawa alizotumia, na cost nyingine kulingana na mahitaji yake, ila sio kubwa sana
Hivi mtoto akizaliwa kabla ya wakati lakini ana kg zaidi ya 1.5 anawekwa NICU pia?
 
Siku hizi mnajipangia kabisa 'upasuaji' kwa kuchagua tarehe, huko mbele mtajua tu hizo ganzi ni kitu gani.
 
Back
Top Bottom