samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 354
naomba kuelekezwa jinsi ya kupata mahali nilipo kwa kutumia google earth map ya simu 95?na jinsi ya kutrack mtu kwa google earth map!nawasilisha!
aksante mkwawa ww ni msaada kwa sisi tusio na taaluma ya softwere! Mbona mkuu sioni location?
mkwawa simu yangu ni n95 8gb nikiingia kwenye map naenda option sioni my location!
We utakua unatumia map ilokuja na simu then unairefer kama google map its better ukadownload google map.
Nenda google.com then click more then click map ukiwa na simu yako download halafu ndo fuata maelekezo ya hapo juu