Shanyangy
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 300
- 161
Habari yenu ndugu zangu, naombeni msaada wenu kuipata hii hela nikaitoa au kwa mtu yeye aliyewahi kucheza kwa kununua vitu halafu wanakupa commission kwa ile pesa uliyotoa. Commission yao inaanzia 30% mpaka 40%.
Hii issue inafanyika telegram basi na mimi nikawa muhanga. Nilikuwa natuma screenshoot za video ya YouTube waliokupa zikifika 10 unapewa 10000, sasa kuna muda unapewa task uweke elfu 30 halafu unapewa 39 pamoja na commission, nikalipwa. Sasa ndio nikaona hela ndio zipo huku.
Nikaendelea kucheza, nikacheza elfu 70 nikapewa elfu 90, sasa nikacheza tena elfu 70 nikaambiwa system inataka ucheze laki 2 kwahiyo niongeze lak 130 ili iwe laki 2, nikaweka.
Lakini nikaambiwa niweke tena laki 6, sasa laki 6 sina na pesa yangu imekwama ipo kwenye account yao, kuitoa ndio kipengele. Mwenye ujuzi naomba anisaidie kuitoa jaman.