NAOMBA MSAADA WA KUJUA NIMEPATA MKOPO %NGAPI. Nisaidieni

helo Mpendawali, it sounds as if na ww unaendasoma Petroleum Eng. Kama itakuwa 2po wote plz naomba 2wasiliane. Halafu mm nilipocheki yale majina ya all s2dents 2liochaguliwa wenye hela nyingi ni 3,882,500 mm nikiwa mmoja wapo. It means ther is no one given 100%loan. Then hii koz yangu, cc ndiyo wa kwanza au?

Nyie sio wa kwanza kuna jamaa yangu anasoma pale alimaliza six 2010, sasaivi anaingia mwaka wa 3
 
Ndio kaka mm pia ntapiga petroleum engineering na loan nmelamba kama yako!!!ni PM contacts zako il 2wasiliane zaid
 
Back
Top Bottom