Naomba msaada wa kimawazo

akinyi111

Member
Jul 6, 2015
22
2
Habari,mimi ni mama wa watoto2,professional yangu ni mwalimu wa primary,mwaka2009 nlifukuzwa kazi kwa kosa la kinidham kwamba sijakuwepo kazin takriban miez2(nmeandika kadri ya hukum ila sio kweli kuna ukiritimba ndani yake kati yangu na mkuu wa shule),,,bas hali hiyo ikapelekea mimi kufukuzwa ila nkapewa nafasi ya kujitetea nkaandika barua,na katka kufatilia nimeambiwa kesi imeisha nmeshinda barua yakurudi kazini iko tayari bado kusainiwa ili itumwe,nimejarbu kuifatilia hadi wizaran nkaambiwa nisubir watatuma,ikumbukwe naish maisha yakuunga unga huu mwaka wa5. Bahati mbaya tena nkiwa safarin toka dar kufatilia ivo vitu tukapata ajari,pochi yangu nlyokuwa nmeishika mkonon ina vyet,simu na pesa na vtambulsho viliibiwa eneo la ajari,hapa nlipo nna original ya vyet vya shule lkn cha ualimu nlchotembea nacho sina kimeibiwa nmebaki na results slip tu,taarifa polisi na magazetin nishatoa,lengo langu ilkuwa niombe kazi shule binafs lkn chet ndo tatzo,naomben ushaur nfanyeje ndgu zangu najua nyie wasomi mmepitia mengi mawazo yenu msaada kwangu.WANAJAMVI IO NI TAARIFA YA MAMA JIRANI YANGU KAOMBA MSAADA NIMPOSTIE HILI SWALA.
 
Pole sana dada kwa changamoto hizo.endelea na kazi ya zamani kwanza.wakati huo utaweza kuamua nin cha kufanya badae.
 
Acheni wizi,hii text nina mwaka wa tatu naiona afu we unakuja kuzuga eti ni mama jirani yako.
 
Acheni wizi,hii text nina mwaka wa tatu naiona afu we unakuja kuzuga eti ni mama jirani yako.

wewe tang'ana fanya lolote kuprove statement yako,usiropoke ropoke tuuu,,,,bila kua na uhakika na usemacho,unanshangaza kwakwel mijity kama ww uwa naisikiaga tu,sasa copy io yako iweke hapa tuone
 
Acheni wizi,hii text nina mwaka wa tatu naiona afu we unakuja kuzuga eti ni mama jirani yako.

Yan umenkera sana,sasa ww apo umeibiwa nn,au unadhan n furaha mtu kuweka shida zake wazwaz, kaa ukijua n matatzo otherwise tungelimalza wenyewe,sema ulichoibiwa ww au ulkuwa unafurahsha nafsi,,,,,pyuuuutu
 
Najua unakoelekea,mwisho wa siku utataka watu wamchangie huyo mama pesa.wabongo wa leo hatuibiwi kirahc mkuu.
 
Najua unakoelekea,mwisho wa siku utataka watu wamchangie huyo mama pesa.wabongo wa leo hatuibiwi kirahc mkuu.

Unajua ww n mungu,acha mawazo mgando na mazoea,kama n kuomba msaada wa pesa angeenda makanisan,misikitin au kwenye media ambapo kungekuwa na watu wakuprove tatzo lake,hapa kaomba mawazo yako tuu,,,,ila sio mbaya turud kwenye comment yako ya1,nahitaj copy ya kile ulchokisema maana waropokaj tumewachokaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom