Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

Kivule

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
639
662
Wakuu, leo nimeingia kwenye profile yangu ya TCU nikakuta selection program eti haipo na nikienda kwenye view my selection status inadai eti sijafanya application na wameniletea link ya second round application.

Msaada jamani wakuu mana nahisi kufa.
 
Wakuu, mi nilimaliza kidato cha 6 mwaka 2012 comb ya PCM nkapata B ya maths na S za chem na physics. kutokana na hali ngumu nyumbani mwaka huu nili reseat physics nkapata C. Nimeapply t.c.u baada ya tar.31nkaski mda umeongezwa, ilikua tarehe 2 nkachange selection zangu 2nd choice nkaeka 1st na 1st choice nkaeka 2nd mana m naishi kijijini nkapewa taarifa mda umeongezwa ad tarehe 6. dah leo naingia account yangu wanadai sijafanya application na link ya selection program haionekani na wameniekea eti niapply 2nd round dah na kozi walizoniekea nichague second round sijazipenda ata 1, najuta elimu imenishinda na nyumban maskini, ui ndo mwisho wa kusoma tena. naumia sana tena sana dahhhhh.
 
Usijali kaka daima ndoto hazipo straight lazima upate tabu naamin utazishinda hizi tabu ww chagua izo izo kozi ulizopewa usiogope future kuna msemo unasema " do excellence and the success will chase you" be strong
 
Wakuu, mi nilimaliza kidato cha 6 mwaka 2012 comb ya PCM nkapata B ya maths na S za chem na physics. kutokana na hali ngumu nyumbani mwaka huu nili reseat physics nkapata C. Nimeapply t.c.u baada ya tar.31nkaski mda umeongezwa, ilikua tarehe 2 nkachange selection zangu 2nd choice nkaeka 1st na 1st choice nkaeka 2nd mana m naishi kijijini nkapewa taarifa mda umeongezwa ad tarehe 6. dah leo naingia account yangu wanadai sijafanya application na link ya selection program haionekani na wameniekea eti niapply 2nd round dah na kozi walizoniekea nichague second round sijazipenda ata 1, najuta elimu imenishinda na nyumban maskini, ui ndo mwisho wa kusoma tena. naumia sana tena sana dahhhhh.

pole sna kaka kwa mkasa uliokukuta ila mbona mm acaunt yangu normal kama zaman tu checking in progress sielewi
 
elimu kwa kweli basi dah. yan apa nataman kufa kufa dah
 
Habari zenu ndugu zangu, leo nimeingia kwenye akaunti yangu nimekuta tangazo la Not yet done any application halafu kwa juu kidogo nimepewa bonge la tangazo SECOND ROUND halafu vyuo vyote ni kama vinavyoonekana hapo chini....ila nilipotaka kuapply nikaambiwa APPLICATION FOR SECOND ROUND WILL BE OPENED SOON... Hebu nawe cheki kama upo kwenye majanga..

SECOND ROUND APPLICATION
Select one program to make application on first come first serve basis.

hata mimi nimeambia sory u have not done application
halafu niki click kwenye ile view my selection status naambiwa not yet processed
hii ni nini labda ?
 
Ila mimi sijaona chochote cha Second round application
Ila nimeandikiwa you have not done any application
 
Jmn applcants ingien kwnye accnt zenu muone changez ili ujue la kufanya mapemaaa
 
Back
Top Bottom