Naomba msaada:shule binafsi za EGM au ECA?

KVM

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
1,852
931
Nina mtoto wa dada yangu ana point 26. Matokeo yake hayakuwa mazuri naamini ni kutokana na kusoma shule za kati.
English C
Geography C
Maths D
Physics D
Biology D
Chemistry D
Kiswahili D
Civics? D
History D.

Dogo alipenda sana kwenda High School. Lakini sijui hata shule moja ya kulipia. Ningejitahidi kumsaidia. Inaelekea anapenda kwenda University akafanye masomo ya Uhasibu. Naona ingekuwa vizuri achukue combination ya EGM au ECA. Ni shule zipi nzuri za Private abnaweza kupata kwenye mikoa ya Ruvuma, Iringa, Mbeya, Morogoro?

Au kuna mtu ana ushauri mwingine wa kumwezesha kuingia chuo kikuu kusomea uhasibu?
 
Kwa mikoa uliyoitaja sijui,ila Arusha kuna shule inaitwa Edmund Rice Sinon Secondary School,ni nzuri japo sijui kama wanachukua hzo point.Lakini pia mwanao anaweza kuanza na certificate ya uhasibu alafu akapanda taratbu,ila kwa matokeo ya mwaka jana yalivyokuwa,kwa hzo points zake utapata shule kabisa.
 
Asome Eca wakat o-level hakufanya book keeping wala commerce?au unadhani huwa wanajiendea tu?
 
ECA?,hapana sishauri hata kidogo kutoka na msingi wake o'level...nashaur apige EGM or HGE na atamudu tu huo uhasibu chuon,.kwa mbeya kuna shule nyng nzur kwa combinations hzo mfan Sangu(ni nzur sana-mi nimesoma hapo) yan uhakika wa div 1 or 2 ni mkubwa akihudhuria clac,. FOREST HILL,PANDAHILI na MBALIZI zote ni shule committed kbs,Meta sec dah ya hovyo labda wawe wamebadilika miaka miwili hii. Kwa iringa ni shule moja tu HIGHLANDS sec ipo poa kbs..
 
Asanate sana.
 
Back
Top Bottom