Naomba mnisaidie flat screen ya kisasa ina sifa zipi?

Mpigadili Tz

JF-Expert Member
May 4, 2015
1,042
1,822
Habari zenu wakuu, mimi sio mzoefu sana wa tv sasa nataka kununua flat screen nimependelea iwe ya kisasa sasa nahofia kuingizwa mjini. Naomba mnisaidie flat screen ya kisasa ina sifa zipi na kampuni gani nzuri nilipendelea inch 32?
 
Kuna Smart TV ambayo inakuwa ni hdmi, 3D na kama unakuwa na dongle utakuwa na uwezo wa access internet unaweza hata kuskype kwakuwa zina kamera kabisa. Zilizo zoeleka hapa kwetu ni Samsung, LG. Kama zipo za kisasa zaidi watalaam waja kukujuza punde
 
Ahsante
 
Habari zenu wakuu, mimi sio mzoefu sana wa tv sasa nataka kununua flat screen nimependelea iwe ya kisasa sasa nahofia kuingizwa mjini. Naomba mnisaidie flat screen ya kisasa ina sifa zipi na kampuni gani nzuri nilipendelea inch 32?
Ukiweza Pata yenye DVB-T2 pia sio Mbaya!
Ikiwa na uwezo wa kufanya Casting kutoka kwenye simu mfano uta enjoy sana Vitu kama Mobodro!
 
angalia ''amazing life style '' kama upo dar au wacheki instagram uone vitu vyao vya kibabe
 
Mh,kweli mambo ya smart tv flatscreen hatari,naona misamiati ya ajabu ajabu tu hapa.
Ila mkuu hii post yako imefanya wengi waanze kugoogle specs za high end flatscreen.Ngoja na mimi nigoogle.
 
Mkuu mi nakushauri ununue L.G hua ni nzuri kama mku wangu jongwe alivyosema hapo juu ni nzuri sana ila bei zake zimechangamka!!!
 
Back
Top Bottom