Peter adazo
Member
- Jun 10, 2016
- 57
- 12
Ipi tofauti kati ya Diploma in Nursing(In service) na Diploma in Nursing na je kazi ya nursing ni kufunga vidonda tu?
Naomba mnifahamishe ndugu zangu.
Naomba mnifahamishe ndugu zangu.
Nashukuru nduguHyo in service ni kwa wale walio makazini
In service wa makazin ambao Wana uzoef na kazi, ila KUHUSU kufunga vidonda tu not true, nurse ndo mtu anaekaa sana na wagonjwa na kujifunza meng, ni ngazi moja ya kusomea kikubwa ZAID na kuwa daktar mzoef ever, so hiy concept ya vidonda put it aside
SAsante mkuu..nmekuelewa mnooIn service wa makazin ambao Wana uzoef na kazi, ila KUHUSU kufunga vidonda tu not true, nurse ndo mtu anaekaa sana na wagonjwa na kujifunza meng, ni ngazi moja ya kusomea kikubwa ZAID na kuwa daktar mzoef ever, so hiy concept ya vidonda put it aside
Kama ni me usiende huko kama ni ke sawa utajutaIpi tofauti kati ya Diploma in Nursing(In service) na Diploma in Nursing na je kazi ya nursing ni kufunga vidonda tu?
Naomba mnifahamishe ndugu zangu.