Naomba mchango wamawazo hapa.

GIB

JF-Expert Member
Mar 2, 2012
336
92
wana jf kwenye tembea tembea yangu nimekutana na picha hii.
naomba comments zenu.
 
Attachments

  • 46867_146189075420718_100000888780715_237610_4978302_n.jpg
    46867_146189075420718_100000888780715_237610_4978302_n.jpg
    87.5 KB · Views: 309
Takukuru wamelala usingizi wa pono, don tel me hawana ofisi kigoma!!
 
Sikuwa nina nia ya kuchangia leo lakini hii imenisukuma kutoa machache niliyo nayo.Binafsi hii naiona kama changamoto kwa wapiganaji wa CHADEMA kuzidi kuwawashia moto hawa jamaa wa chama tawala,tangazo kama hili linaonesha wazi kuwa wameishiwa na sera na uwezo wa kutatua kero za wananchi kiasi cha kufikia kubuni mbinu za kuwahonga watu mchele na sukari kwa kisingizio cha punguzo la bei.Kama kawaida yao walivyokuwa wakitoa ubwabwa wakati wa kampeni,wameona waanze kuwarubuni wananchi mapema.Ni aibu kwa chama kilichokuwa madarakani zaidi ya miaka 35 kuja kwa wananchi na sera kama hizi.Kwa wapiganaji wa CHADEMA hii ni nafasi nzuri kwenu,kwani huu ni mtaji mzuri endapo mtaweza kuutumua kwa kuwaelemisha wananchi juu ya kushindwa kwa watawala waliopo madarakani hadi kufikia kwenye siasa za nyanya na vitunguu sokoni,Kila la kheri wapiganaji..
 
sasa ninahisi hawa CCM wanatimiza moja ya nabii za mpinga kristo washafanya kadi yao ndio ile chapa ya 666...lol!
wananchi wa kigoma na tanzania kwa ujumla ogopeni CCM.
 
ukiangalia kiundani utagundua hiyo ni joke kwa wanachama wa CCM.
Kwa lugha nyingine tangazo linawashangaa wanaong'ang'ania kadi za CCM na hali maisha kwao bado ni magumu, bidhaa sokoni bei ya juu na zaidi hawana umeme.
 
Sikuwa nina nia ya kuchangia leo lakini hii imenisukuma kutoa machache niliyo nayo.Binafsi hii naiona kama changamoto kwa wapiganaji wa CHADEMA kuzidi kuwawashia moto hawa jamaa wa chama tawala,tangazo kama hili linaonesha wazi kuwa wameishiwa na sera na uwezo wa kutatua kero za wananchi kiasi cha kufikia kubuni mbinu za kuwahonga watu mchele na sukari kwa kisingizio cha punguzo la bei.Kama kawaida yao walivyokuwa wakitoa ubwabwa wakati wa kampeni,wameona waanze kuwarubuni wananchi mapema.Ni aibu kwa chama kilichokuwa madarakani zaidi ya miaka 35 kuja kwa wananchi na sera kama hizi.Kwa wapiganaji wa CHADEMA hii ni nafasi nzuri kwenu,kwani huu ni mtaji mzuri endapo mtaweza kuutumua kwa kuwaelemisha wananchi juu ya kushindwa kwa watawala waliopo madarakani hadi kufikia kwenye siasa za nyanya na vitunguu sokoni,Kila la kheri wapiganaji..
Kwa kumbukumbu zangu hiyo picha ni ya wakati wa kampeni mwaka 2010. Mleta maana amejifanya kama ameiona mwenyewe leo ilihali amkopi kutoka kwa wenzie. Hii ni mbinu ambayo CCM walishaitumia mwaka 2010 na bado hawakupata kura za kutosha huko Kigoma.
 
Back
Top Bottom