Kuwa na subra kaka,bado hawajaanza kuita kwa sababu ajira zimesitishwa kwa ofisi zote za serikali.Habari wasahiliwa wenzangu je kwa wale tuliofanya usahili siku ya tarehe 20/06/2016 kwenye kada ya office assistant je watu wameshaanza kuitwa? nisaidieni kwa majibu jameni!
Anamaana office assistant watu wamefanya oral tangu tarehe20 mwezi wa sita anataka kufahamu kama wameitwa makazini tayari?Walishaita tangu mwezi wa 5 ...maana mwezi wa 4 waliitwa wa degree wa 5 waliita wa form four ambao ni assistant office, mwezi huu wameita wa diploma...
asanteni naombeni chochote kikitokea tuwasiliane wanduguAnamaana office assistant watu wamefanya oral tangu tarehe20 mwezi wa sita anataka kufahamu kama wameitwa makazini tayari?
asante ndugu kama kuna chochote kitatangazwa naomba unifahamishe nduguBado vumilia ajira zimesitishwa
no mimi nifanya oral tarehe 20/06/2016 na walituambia baada ya wiki tatu haitofika wiki 4 basi ndugu ukipata habari zozote tufahamishaneWalishaita tangu mwezi wa 5 ...maana mwezi wa 4 waliitwa wa degree wa 5 waliita wa form four ambao ni assistant office, mwezi huu wameita wa diploma...
Poa haina shida tutafahamishana kitachojiri mungu akipenda.no mimi nifanya oral tarehe 20/06/2016 na walituambia baada ya wiki tatu haitofika wiki 4 basi ndugu ukipata habari zozote tufahamishane