Naomba kuuliza, usaili wa office assistant TRA watu washaanza kuitwa?

Freddie

Member
Aug 5, 2014
14
1
Habari wasahiliwa wenzangu je kwa wale tuliofanya usahili siku ya tarehe 20/06/2016 kwenye kada ya office assistant je watu wameshaanza kuitwa? nisaidieni kwa majibu jameni!
 
Walishaita tangu mwezi wa 5 ...maana mwezi wa 4 waliitwa wa degree wa 5 waliita wa form four ambao ni assistant office, mwezi huu wameita wa diploma...
 
Kuwa na subra kaka,bado hawajaanza kuita kwa sababu ajira zimesitishwa kwa ofisi zote za serikali.
 
Walishaita tangu mwezi wa 5 ...maana mwezi wa 4 waliitwa wa degree wa 5 waliita wa form four ambao ni assistant office, mwezi huu wameita wa diploma...
Anamaana office assistant watu wamefanya oral tangu tarehe20 mwezi wa sita anataka kufahamu kama wameitwa makazini tayari?
 
Walishaita tangu mwezi wa 5 ...maana mwezi wa 4 waliitwa wa degree wa 5 waliita wa form four ambao ni assistant office, mwezi huu wameita wa diploma...
no mimi nifanya oral tarehe 20/06/2016 na walituambia baada ya wiki tatu haitofika wiki 4 basi ndugu ukipata habari zozote tufahamishane
 
Poa haina shida tutafahamishana kitachojiri mungu akipenda.
 
Back
Top Bottom