Naomba kujuzwa

nyaunyau

Senior Member
Oct 28, 2009
132
26
Naomba kufahamishwa kuhusu usajili wa vyuo unaofanywa na NACTE,nilisoma kwenye TOVUTI yao orodha ya vyuo vilivyosajiliwa nikaona kuna preparatory,provissional na fully registration.mnaoelewa mimi nimesoma DIPLOMA chuo chenye usajili wa kati naweza kupata nafasi chuo kikuu ili niendelee na degree?.
 
Back
Top Bottom