Naomba kujuzwa, TANESCO wanatumia muda gani kukuingizia umeme ukishalipia mkoa wa Kinondoni, Dar?

Wapi umeombwa kitu kidogo? Unatakiwa kutoa taarifa unapopata usumbufu wa aina yoyote.

Kumbuka kutoa/kupokea rushwa ni kosa kisheria.

kila Mahali WA naomba rushwa... Tena kwa style ya kukuzungusha weee msijifanye hamlifahamu hili....

au mpo tu sehemu ambazo hamuendi tanesco mkaona wanachokifanya
 
sekta nyingi karushwa kametawala ukitaka ufasta HILI HALIPINGIKI UKIBISHA UJUE NAWE MLA RUSHWA UNAFICHA MAKUCHA watu wanafungiwa ndani ya siku tatu wengine kila kitu kipo miezi sita
 
Kilimanjaro Mwanga nimelipa toka July 19 hadi leo hakuna nguzo wala umeme. Wakat ni nguzo moja inahitajika
 
Huitaji kusaidiwa, usilalamike kwenye social media.

Hayo ndio majungu

nimelalamikaje........ we unakatwa nini ala mfyuuuu zako.. nachangia hoja km wenzangu na ww acha kujifanya kichwa ngumu na km babako ama wewe upo huko na unaibia raia jiandae kuna.y each debe.... ukitaka nikalalamikie Wapi labda Mbona ww pambav zako na robo
 
Matusi hayasaidii, JF Sio sehemu sahihi ya kupeleka, TANESCO wanaofisi, wanamiyandao Yao ya kijamii unaweza kuckilizwa huko.

Vitu ulivyosema havina uhalisia umeshindwa kuthibitisha.

Ukizoea uongo hata vitu vidogo unashindwa kuwa mkweli
 
kwa jinsi hii maendeleo yatachelewa sana yani kuunganishiwa umeme hata kama ungekuwa unahitaji nini haipaswi kuchukua hata wiki. sasa miezi 3 haya ni majibu na dawa yao ni kutumbua.
hivi ingekuwa shirika binafsi wangetoa muda kama huu wenzetu wanajaribu kuhakikisha maisha yanakuwa rahisi siku hadi siku sisi bado tupo katika siku 90
nikuhakikishie tu hizo tisini ni ndogo kuna watu wanasubiri hadi mwaka kupata umeme na wamelipia vyote vinavyostahili ila rushwa ndio shida hawaji ili uwahongehonge we wakufilisi hadi watakapoa wamekula vya kutosha ndio waje ******* zao

Yaani kama vile umekwenda kuomba msaada, mashirika yanatakiwa waweke ushindani kama yabinafsi
 
a
Matusi hayasaidii, JF Sio sehemu sahihi ya kupeleka, TANESCO wanaofisi, wanamiyandao Yao ya kijamii unaweza kuckilizwa huko.

Vitu ulivyosema havina uhalisia umeshindwa kuthibitisha.

Ukizoea uongo hata vitu vidogo unashindwa kuwa mkweli

Huna lolote ndo wezi wenyewe nyie....... wee
 
Unamda gani umelipia service line? Kama haihitaji nguzo na ni mita 1-30 ni ndani ya siku 30 unakuwa umeunganishiwa.

Kama ni nguzo 2 siku 60 unakuwa umeunganishiwa umeme,

Labda umeambiwa unahitaji nguzo? Ama umelipia kiasi gani ntakusaidia kufahamu
 
Ukishalipia Kaa Usahau Maana Huduma Ni Shida
Utaambiwa Mita Hakuna
 
Back
Top Bottom