Naomba Kujuzwa Maswali Wanayouliza Kwenye Interview za NHIF

samubagula

Member
Jun 24, 2013
89
4
Wadau nimepgiwa sim na hawa NHIF kwahyo nilikuwa naomba kujua maswal ambayo huwa wanauliza kwnye interview naomben msaada wenu wandugu.
 
kumbe kuna waliopigiwa simu na walioambiwa waende tu.umeomba post gani watu wakupe maujanja?
 
Wadau nimepgiwa sim na hawa NHIF kwahyo nilikuwa naomba kujua maswal ambayo huwa wanauliza kwnye interview naomben msaada wenu wandugu.

kumbe kuna mlio pigiwa simu???!!! hongera zako mkuu! vp wengine walioambiwa waende tu wakafanye? aisee....
 
Mi wanipigie simu wasipige iwil have to go af as iknw life is not a cup of tea.
 
Kuna waliopigiwa na walioitwa kwa tangazo tu????
Hapa kuna harufu ya ufisadi
 
Mmhh!! Mbona hawa jamaa hawaeleweki huu ni utaratibu wa kutoka nchi gani??

Tanzania kila kitu zigzaga!!
 
Back
Top Bottom