Naomba kujuzwa machache kuhusu Halmashauri ya Ushetu

Mr Masindi

Member
Aug 17, 2019
51
47
Wakuu habari za majukumu,

Naomba kupata ABC kuhusiana na halmashauri ya USHETU iko wap? Makao makuu ya halmashauri yako maeneo gani?

Mandhari yake yakoje nk.

Kuna senta iliyochangamka?
 
Ipo katika wilaya ya kahama ,ipo umbali wa kilomita kama 50 hivi kutoka kahama mjini. hivi karibuni wamepata umeme na mtandao wa simu. centre yake siyo kubwa ni ndogo sana na haijachangamka, ni kama kongowe kibaha
 
Kwahyo pana umeme na mawasiliano yapo? Vipi kuhusu maji, pana visima?

Wananchi wa huko wanajishughulisha na nini hasa hasa?
 
Huko umeme ndio kwanza umeingia, kilimo ni tumbaku na karanga, barabara ni vumbi mwanzo mwisho, kulikua na misitu ila wananchi wamemaliza miti kwa kukata kuni kwa ajili ya tumbaku
 
Wakuu habari za majukumu,

Naomba kupata ABC kuhusiana na halmashauri ya USHETU iko wap? Makao makuu ya halmashauri yako maeneo gani?

Mandhari yake yakoje nk.

Kuna senta iliyochangamka?
Hakuna barabara ya lami mpaka sasa, halmashauri bado ni mpya. Chanzo kikuu cha mapato cha halmashauri zaidi ni kilimo na mazao ya misitu.
 
Pia wafanyakazi wote wa ushetu wanakwama kahama town huwa wanaenda asubuhi jioni wanarudi
 
Back
Top Bottom