Naomba kujuzwa kuhusu Toyota Cami

mzee Chibai

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
980
242
Wakuu naomba kufahamu kuhusu hii gari, uimara wake na ubora wake. Pia kuhusu spea. Long trip na short trip na vipi kuhusu ulaji wa mafuta.
 
Sijahi kuwa nayo ila kuna wakati nillipenda nikashangazwa na bei yake kuwa kubwa ukifananisha na ilivyo. Spea zipo kwa shida kama upo nje ya miji mikubwa. Wanaisifu ni kuwa na 4WD.
 
Toyota Cami aka Terios, ni gari nzuri mkuu, ila bei yake show room kubwa kidogo.

Kuna cha cc 660, 1.3L, na1.5L

Nakushauri uchukue Model mpya, ya kuanzia mwaka 2006 kama budget nzuri au chukua ileile generation ya kwanza, ila ilioandikwa nyuma Terios au Terios Kid, ni more comfortable.

Ila havina nafasi sana ndani, vimebana sana kuliko IST. Viko katika familia ya "kei" cars. (Kei cars ni familia ya vigari vidogo vidogo, regardless Manufacturers, na ndio ilipo originate Suzuki kei hivi vilivyozagaa mjini). Kwahiyo sio gari nzuri sana kwa familia, watu warefu pia hawapo comfortable seat ya nyuma.

Ukipata Toyota Rush ni version nyingine ya Cami.

Cami=Terios=Rush

Wese inanusa tu, ila safari ya mbali sikushauri. Hakana balance kwakua ni kembamba hafu kameenda juu kiaina (Physics form II mambo ya Centre of Gravity)

NB: njoo specific, kuanzia mwaka unayoitaka, FWD au 4WD, engine size, manual or auto transmission hafu tukudadavuzie.

Usiogope spare, mjini zipo kibao.

Kuhusu kuuza utauza tu, watu kibao mi nimeona wakiziulizia.
 
Nikweli mkuu,mimi natumia Terrios,ni ka gari kagumu sana,si rahisi kuharibika hata kidogo,
Mafuta kananusa mno,ni cc 1300,,Nimewahi kwenda nako safari za mbali(mikoani)kama mara 5 na haijaniletea tatizo lolote (maintain speed isizid 100Km/hr).
Ni gari nzuri kwa jumla,bei showroom imefika Mil 12.5 na kwa sasa.
 
Afadhali jembelamkono umekuja kushuhudia.

Kama kuna disadvantages/common problems zozote unaweza kushare?
 
Sijahi kuwa nayo ila kuna wakati nillipenda nikashangazwa na bei yake kuwa kubwa ukifananisha na ilivyo. Spea zipo kwa shida kama upo nje ya miji mikubwa. Wanaisifu ni kuwa na 4WD.
Asante mkuu kwa taarifa
 
Toyota Cami aka Terios, ni gari nzuri mkuu, ila bei yake show room kubwa kidogo.

Kuna cha cc 660, 1.3L, na1.5L

Nakushauri uchukue Model mpya, ya kuanzia mwaka 2006 kama budget nzuri au chukua ileile generation ya kwanza, ila ilioandikwa nyuma Terios au Terios Kid, ni more comfortable.

Ila havina nafasi sana ndani, vimebana sana kuliko IST. Viko katika familia ya "kei" cars. (Kei cars ni familia ya vigari vidogo vidogo, regardless Manufacturers, na ndio ilipo originate Suzuki kei hivi vilivyozagaa mjini). Kwahiyo sio gari nzuri sana kwa familia, watu warefu pia hawapo comfortable seat ya nyuma.

Ukipata Toyota Rush ni version nyingine ya Cami.

Cami=Terios=Rush

Wese inanusa tu, ila safari ya mbali sikushauri. Hakana balance kwakua ni kembamba hafu kameenda juu kiaina (Physics form II mambo ya Centre of Gravity)

NB: njoo specific, kuanzia mwaka unayoitaka, FWD au 4WD, engine size, manual or auto transmission hafu tukudadavuzie.

Usiogope spare, mjini zipo kibao.

Kuhusu kuuza utauza tu, watu kibao mi nimeona wakiziulizia.
Asante mkuu kwa ufafanuzi mzuri
 
Nikweli mkuu,mimi natumia Terrios,ni ka gari kagumu sana,si rahisi kuharibika hata kidogo,
Mafuta kananusa mno,ni cc 1300,,Nimewahi kwenda nako safari za mbali(mikoani)kama mara 5 na haijaniletea tatizo lolote (maintain speed isizid 100Km/hr).
Ni gari nzuri kwa jumla,bei showroom imefika Mil 12.5 na kwa sasa.
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom