Naomba kujuzwa kuhusu gari aina ya AUDI Q5

Maria Nyedetse

JF-Expert Member
Apr 24, 2021
657
1,485
Hello wana jukwaa,

Natumai mko poa kabisa na mnaendelea vema na mapumziko ya mwisho wa wiki.

Moja kwa moja kwenye mada, naomba wenye uzoezi na hii gari wanisaidie AUDI Q5
1.Spare parts upatikaji wake.
2. Uwezo wa kuhimili mazingira magumu [roughl roads]
3. Mifumo ya uendeshaji wa gari, he ni rafiki au iko too complicated
4. Oil consumption [someone ni 19.. cc]
Performance ya engine ya gari
5. Maneuverability, top speed, stability, comforability n.k

Naomba kuwasilisha
 
Audi, BMW na Nissan hizi gari uwe unazidekeza service kitu muhimu sana kwao. Ukisikia sauti tu peleka faster kwa fundi haitaki kusubiri ukisubiri sana inakula kwako. Pia hakikisha fundi awe fundi kweli sio wale vunja vunja🤣🤣
 
Hello wana jukwaa,

Natumai mko poa kabisa na mnaendelea vema na mapumziko ya mwisho wa wiki...
1. Spare parts zipo ila bei siyo rahisi kama Toyota. Bei imechangamka japo ni cheap ukilinganisha na wajerumani wengine kama BMW, Mercedes, Porsche, n.k.

Pia audi na VW zinashare vitu vingi kuanzia engines gearbox n.k. So kuhusu kupata spare usiwaze sana.

2. Hii namba mbili labda wenye real life experience waje waizungumzie.

3. Mifumo ya uendeshaji wa gari ni rafiki.

4. Oil consumption kwa engine za 2.0L ipo sana kwa engine za second generation(Kama pesa ipo avoid hizi engines codes CCZA, CCZB, CCZC, CCZD. Hizi ndio engine codes za second gen).

5. Hilo swali la tano siyo swali la kuuliza sana kwa mjerumani, maana gari zao ndio zinatengenezwa kwa purpose hizo.
 
1. Spare parts zipo ila bei siyo rahisi kama Toyota. Bei imechangamka japo ni cheap ukilinganisha na wajerumani wengine kama BMW, Mercedes, Porsche, n.k...
Asante sana, maana hii gari imenivutia lakini nikafikiri kabla ya kufanya maamuzi nipate uzoefu kwa WAJUVI WA MAMBO HAYA YA KIJERUMANI...
 
Hello wana jukwaa,

Natumai mko poa kabisa na mnaendelea vema na mapumziko ya mwisho wa wiki.

Moja kwa moja kwenye mada, naomba wenye uzoezi na hii gari wanisaidie AUDI Q5
1.Spare parts upatikaji wake.
2. Uwezo wa kuhimili mazingira magumu [roughl roads]
3. Mifumo ya uendeshaji wa gari, he ni rafiki au iko too complicated
4. Oil consumption [someone ni 19.. cc]
Performance ya engine ya gari
5. Maneuverability, top speed, stability, comforability n.k

Naomba kuwasilisha
Ukitamka AUDI unatamka MAUMIVU MATUPU (kuanzia SPEA, SERTVICE hadi MAFUTA)
 
Back
Top Bottom