nyaunyau
Senior Member
- Oct 28, 2009
- 132
- 26
Chuo kiitwacho MODERN COMMERCIAL INSTITUTE kipo mtaa wa nkruma clock tower kinajitangaza kwamba kimesajiliwa na NACTE kutoa mafunzo kwa ngazi ya Diploma kwenye tovuti yao nikiperuzi kwenye mtandao NACTE sioni kwenye list,kuna kijana wangu anasoma pale amelipa ada yao 1400000 Tshs kwa mwaka.naomba kwa anaye elewa kuhusu chuo hiki atujuze kwa faida ya wote.