Naomba kujuzwa gharama za usafiri toka Dar hadi Mafia

Zogoo da khama

JF-Expert Member
May 20, 2013
622
582
Ndugu zangu naomba msaada wenu, natakiwa niende kisiwa cha Mafia kikazi hivyo niandae bajeti ya safari.

Ombi langu nataka msaada wenu kujua gharama za usafiri toka Dar hadi Mafia iwe kwa ndege au boti na gharama za malazi hasa Lodge.
 
Kwa kipindi hiki upepo tumia njia ya nyamisati fika mbagala kuna basi zinazoelekea nyamisati nauli sh 7000. Ukifika nyamisati kuna meli sh 17000 na ya 27000 mpaka mafia lodge zipo kuanzia 10000 na kuendelea .
 
Kuanzia mbagala rangi tatu adi nyamisati nauli Tsh 7k, then apo utachukua usafiri wa meli ad mafia nauli 17k, Ila kwa lodge kipindi hiki cha high season nafkiri uandae 25k kama tahadhari tuu maan ndo guest nying na lodge zitakuwa ni bei yake. Ila pia kama utatak kwenda kwa ndege kutoka dar ad mafia nauli ni 170k na ni nusu saa tuu unakuwa ushafika mafia island. Kwa meli inachukua masaa 4 ad kufika mafia.
 
Ni meli au jahazi mkuu?
 
Ratiba ya meli ikoje yaani inaondoka saa ngapi hapo nyamisati
 
Ratiba ya meli kutoka nyamisati kwenda mafia ni kuanzia sa 8 ad 10 kamili ndo MV. Kilindoni au Songosongo Meli ya jeshi Ndo huondoka mda huo inategemea na Hali ya hewa na Bahari ilivyo. Pia usishangae ukafika nyamisati ukalala apo mkuu ukaambiwa usafiri adi kesho, Maana mimi wakati naenda field uko mwaka huu mwez wa 6 ndo yalinkuta hayo yaan nlilala apo nyamisati coz husafir haukuwepo siku hiyo. Asee kuna mbuu wanagonga balaa apo nyamisati usiombee.
ANGALIZO. Ni vyema siku ya safari ukawasili Nyamisati mapema kabla ya sa 7 mchana au saa 7 mchana ikukute apo nyamisati ili ukate tiketi yako maema maana meli ikishajaza abiria 200 na mizigo kwa uzito sahihi inasepa na hivyo utalazimika kulal iwapo hutapata tiket yako maema na kuwa mmojawapo kati ya abiria 200
 
Kutoka mbagara mpaka nyamisati ni masaa mangapi? Vipi huko mafia kuhusu malazi, chakula na starehe nyingine?
 
Mkuu unafuata mganga au?maana huko hata mwenge haupangiwi ruti ya kuzundua miradi.
 
kuna ngalawa za usiku mkuranga hapa...naul elf tano yako tu...sema kama hujazoea maji roho mkononi...
Nilipanda jahazi toka Mkoani Pemba hadi Tanga masaa 8 tupo baharini halafu upepo na mawimbi sitakaa nisahau
 
Back
Top Bottom