Naomba kujuzwa faida na hasara za kuvaa nguo ya ndani na kutokuvaa?

Old guard

JF-Expert Member
Dec 15, 2020
1,498
2,764
Hivi naomba kujuzwa faida za mwanaume kuvaa boxer na hasara za kutokuvaa kwa maana naona kama kero ukivaa inayotight dushe inabanwa sana korodani ndio usiseme ukivaa yakuachia space dushe inajichora mpaka sometimes aibu.
 
acha kengere zielee utakapozibana na mapaja wakati unakimbia ndio utajua hujui.
 
Achana kabisa na kuvaa zilizobana zinaathiri nguvu ya kudisa, pili sidhani kama huo mdude wako unakuwa umesimama muda wote kiasi cha kuonekana kama umevaa iliyopwaya. Kwa ushauri vaa ambayo haijabana.
 
Back
Top Bottom