Cheology
JF-Expert Member
- Jun 25, 2022
- 384
- 595
Nasikia ni chuga hukoIPO wapi hii?
Nasikia ni chuga hukoIPO wapi hii?
Unamaanisha 'Precious blood'?Previous Blood
Yah nilikosea spellingMkuu umemaanisha Precious Blood?
palloti ...Siuyu Singida 2mNgongo Come again
Hii shule ni mbaya mnost. Merry Duluti...Arusha 2m
Unaweza kueleza kidogo?Hii shule ni mbaya mno
ufaulu mbaya, mazingira mabaya, diko baya, pako kama jeshini yaaniUnaweza kueleza kidogo?
Ni shule ya wasichane je uliwahi kusoma au kusimuliwa?ufaulu mbaya, mazingira mabaya, diko baya, pako kama jeshini yaani
huwezi ilinganisha na precious blood, henry gogarty zilizopo hapo karibu ni mbingu na ardhi
umesema st mary's dulutiNi shule ya wasichane je uliwahi kusoma au kusimuliwa?
Ok,umesema st mary's duluti
mchanganyiko hiyo form 1-6
nimesimuliwa na waliosoma, nimeshafika pia
jamani palloti ishafika 2m , kuna nyingine inaitwa st.carolas ipo miss una singida zote zipo vizuri sana ila kwenye kutema yai nina mashakapalloti ...Siuyu Singida 2m
st. Merry Duluti...Arusha 2m
St. Gregory Arusha 2m
hizi ni shule bora kwa malezi ya mtoto
Yes Palloti iko 2m na ka point but iko maeneo mazurijamani palloti ishafika 2m , kuna nyingine inaitwa st.carolas ipo miss una singida zote zipo vizuri sana ila kwenye kutema yai nina mashaka
kwa advance bora mary gorety, duluti hapana hata iweje aisee
ndo home kwetu huko makiungu so palloti naipata vizuri.Yes Palloti iko 2m na ka point but iko maeneo mazuri
Ooh kumbe, panachangamka sana huko, hongerando home kwetu huko makiungu so palloti naipata vizuri.
Kumbo toto la kiahi😂ndo home kwetu huko makiungu so palloti naipata vizuri.
St Francis Mbeya ina advance kwani?St. Francis de Sales
St. Francis Mbeya