Naomba kujua maana ya majina ya utani ya Majenerali wetu waliopigana vita ya kagera

Masandawana

Member
Jul 13, 2023
84
221
Vita ya Kagera ya mwaka 1978/79 iliyopiganwa ili kuokoa mipaka yetu ilikuwa ya aina yake.

Tulifanikiwa kushinda lakini ilituachia maumivu pengine mpaka leo.

Moja ya vivutio ilikuwa ni uzalendo mkubwa wa wapiganaji wetu kutoka JWTZ.

Palikuwa na Majenerali walioongoza brigedi mbalimbali. Makamanda hao walikuwa na majina yao ya utani. Baadhi ya majina hayo ni kama vile Mti Mkavu, Black Mamba, Kambale, Simba wa Vita nk

Naombeni mniambie maana ya nickname hizo.
 
Back
Top Bottom