Naomba kujua kuhusu vyuo vya mifugo

Barinasyo

Member
Jul 11, 2012
5
0
Wapendwa kwa mwenye taarifa anijulishe kama wizara ya mifugo na uvuvi imetangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo mwaka huu msaada tafadhali
 
Halafu baadaye mnaanza kulalsmika ooh kazi hakuna wakati mnaenda kusoma mambo ya kupe na ndorobo..someni mambo ya fedha
 
Huko huko kwenye kupe na ndorobo ndiko kwenye ajira za moja kwa moja kuliko huko kwenye fedha ambako mpaka mtoe rushwa ndo mpate ajira
 
Halafu baadaye mnaanza kulalsmika ooh kazi hakuna wakati mnaenda kusoma mambo ya kupe na ndorobo..someni mambo ya fedha
na kama una degree,nahis uliipata kwa ku-desa!!! hapa ndugu ume kurupuka toka kwenye usingiz wa juzi!!! ndugu haya ni mawazo MGANDO!!! inaonyesha ni kiasi gani ulivyo na mawazo finyi kama tundu la sindano ya kushonea nguo!!!!!!
 
kama uliomba majina bado hayajatoka,ila kama bado dedline ilikuwa tar 30 juni so imeshapita.
 
Halafu baadaye mnaanza kulalsmika ooh kazi hakuna wakati mnaenda kusoma mambo ya kupe na ndorobo..someni mambo ya fedha
hivi wewe kigogo akili yako ndo imeishia hapo, unataka watu wasome mambo ya fedha? fedha zenyewe zipo wapi? mafisadi wametafuna zote.. mifugo sasa hivi ndo fan inayotoa ajira za moja kwa moja kama ualimu. vyuo hivi vinaitwa LITI. vipo mpwapwa, songea,Arusha,tanga na moro. usidanganye watu kila fani ina umuhimu wake.
 
Mifugo for life. Ng'ombe, mbuzi, kondoo, kuku nk. Ndo wanao2weka mjini. Nabadilisha majani kuwa maziwa au nyama
 
Mm sijasoma masomo ya sayansi ila Nina ufaulu mzurii wa somo la Biology vipiii naweza kujiunga na kusoma ktk vyuo vya Mifugo
 
Mm sijasoma masomo ya sayansi ila Nina ufaulu mzurii wa somo la Biology vipiii naweza kujiunga na kusoma ktk vyuo vya Mifugo msaada jman
 
Prince M Mwakyusa
Nashindwa nikushauri vip. application zishapita labda usubiri mwakani, unaweza pata lakini inategemea.
 
Back
Top Bottom