Naomba kujua ‘Deed Poll’ ni nini. Nawezaje kubadili majina yangu?

Mabullah96

New Member
Aug 15, 2022
2
1
Habari,

Naitaj msaada tafadhali nina shida ya kubadili majina nimefatilia makala kadhaa za watu walojaribu kuulizia utaratibu uko vp kuna kitu nimeona kimezungumziwa sana "DEED POLL".

Changamoto ambayo bado inanitatz ni jinsi gani nitaweza kuipata. Naombeni msaada tafadhali ili niweze kufanya utaratibu wa kuweza kubadili majina yangu.

Naitaj kujua naanzia ngazi ipi ili niweze kufanikiwa
 
Dogo usidanganywe nenda mahakamani na cheti cha kuzaliwa Au Kwa advocates office
Nb
Cheti cha kuzaliwa ni copy
Then Utafanya deed poll yaani kukubali kukataa jina baada ya hapo taarfa zako Zita be certified Kwa majina yako fasaha
NB
Chunga matapeli wapo,mm nilifanya hy process Kwa thirty thousand only, sasa ardhi na majina Wapi na Wapi?
 
wizara ya ardhi na deed poll (kuisajili) huwezi kuwa tenganisha, wamepewa nguvu hiyo kisheria... ikisha sajiliwa ndio ina kuwa na uhalali wa kutumika...

fact ety
 
Nmeona anaropoka hapo juu eti ardhi hawahusiki na kubadili majna nkamuona n mshamba mmoja tu asiejielewa nkaachana nae wala cjataka kujisumbua kumjibu.
 
Mkuu Mabullah96 fauta huu utaratibu,
1. Nenda mahakamani watakuandikia deadpoll au kama unaweza andaa mwenyewe then print(3) kwa legal paper. ghrama ya mahakamani haizidi 15,000/=. i.e. Ukienda kwa advocate gharama inakuwa juu kidogo.
2. Nenda Wizara ya Ardhi kazisajili deadpoll zako(3), gharama ni almost 35,000/= watabaki na moja we utapewa mbili zenye mihuri ya Wizara ya ardhi kwa nyuma.
3. Kama unataka ubadilishe jina NIDA, lazima ukaichape deadpoll kwenye gazeti la serikali gharama yake ni 3000/= but ukitaka kwa haraka zaidi inaweza kufika 20,000/=

N.B nimefanya hii process yote kwa msaada wa watu wa humu J.F. Ukitaka maelezo zaidi njoo inbox.
 
Thanks bro, ntakuchek kwa msaada zaid
 
Habari Mimi nimefanikiwa kuipata mwezi umemipita. Nilifanyeje ??

01. Nilichukua namba ya NIDA na cheti Cha form four.

02. Kisha nikaenda Baraza la ardhi mkoani. Kufika hapo nilitoa 50,000/= kwa mwanasheria wa hapo nikampa na passport size 3 kwa ajili ya Deadpool, na baadae nikalipia kama 30,000 kupitia control number hiyo hela inaingia directly serikalini. Jamaa aliniambia nisubiri isainiwe na afisa msajili wa hati na viapo.. na baadae ikawa teali na kupewaa mkononi.

03. Jina langu la NIDA lilikuwa na changamoto.. so ilinibidi Tena niunganishwe na jamaa mwingine kwa ajili ya kupata gazeti la serikari.. napo nililipia 20,000. Kwa hiyo jumla kabisa inafika 100,000 ila kwa dead pol inafika 80,000.
Sema hapo unayolipa serikarini ni 30,000 tu, mwanasheria ndo mnaelewana nae.. ila Mimi nilimpa 50,000/=.
 
Mkuu vipi hali yako? Samahani naomba ushauri wako kuhusu huduma ya kubadili majina.

Ameshafuata utaratibu wa DeedPoll na amebakiza kwenda kuisajili Wizara ya ardhi. Naomba kufahamu yafuatayo:

1. Je huwa kuna sababu maalumu wanazozitaka ndipo wakuruhusu kubadili majina, au wanaukubali kama ni uamuzi binafsi na endapo hakuna viashiria vya jinai wanaruhusu bila vipingamizi? Anayetaka nimpe huu ushauri sababu yake kubwa ni kwamba halipendi jina alilopewa na wazazi, je hawawezi kuiona hii kama ni sababu nyepesi?

2. Ni nyaraka gani Wizara ya ardhi zinahitajika?

3. Endapo mtu akafanikiwa kubadili jina, je akipata kazi serikalini ataruhusiwa kutumia jina jipya au atalazimika kutumia la zamani ambalo linaendana na vyeti vyake vingine?

4. Je anaweza kubadilisha na nyaraka nyingine kama vile NIDA, au kutengeneza Leseni ya Udereva na Passport ya kusafiria kupitia majina mapya?
 
Habari Mimi nimefanikiwa kuipata mwezi umemipita. Nilifanyeje ??

01. Nilichukua namba ya NIDA na cheti Cha form four.

02. Kisha nikaenda Baraza la ardhi mkoani. Kufika hapo nilitoa 50,000/= kwa mwanasheria wa hapo nikampa na passport size 3 kwa ajili ya Deadpool, na baadae nikalipia kama 30,000 kupitia control number hiyo hela inaingia directly serikalini. Jamaa aliniambia nisubiri isainiwe na afisa msajili wa hati na viapo.. na baadae ikawa teali na kupewaa mkononi.

03. Jina langu la NIDA lilikuwa na changamoto.. so ilinibidi Tena niunganishwe na jamaa mwingine kwa ajili ya kupata gazeti la serikari.. napo nililipia 20,000. Kwa hiyo jumla kabisa inafika 100,000 ila kwa dead pol inafika 80,000.
Sema hapo unayolipa serikarini ni 30,000 tu, mwanasheria ndo mnaelewana nae.. ila Mimi nilimpa 50,000/=.
Mimi nataka kubadilisha namba ya NIDA isome majina Kama yalivyo katika cheti changu Cha chuo na vyeti vya secondary pia Hadi mwaka ktk nida unasoma 96/ while kwenye Birth certificate ni 97 by that time nilipokuwa na jiandikisha NIDA sikujua umuhimu wake nilijua Ni ID Kama ya kupiga kura.? Msaada wa maelezo
 
Kiapo hicho ,nenda mahakamani au kwa wakili Yeyote.Kama uko DSM nenda jengo la TRA Kimara floor ya pili.
 
Mimi nataka kubadilisha namba ya NIDA isome majina Kama yalivyo katika cheti changu Cha chuo na vyeti vya secondary pia Hadi mwaka ktk nida unasoma 96/ while kwenye Birth certificate ni 97 by that time nilipokuwa na jiandikisha NIDA sikujua umuhimu wake nilijua Ni ID Kama ya kupiga kura.? Msaada wa maelezo
Mbona pesa nyingi hiyo,nenda opposite na Mlimani city wanapouzia magari pale ulizia wakili wa karibu.utakuja kunishukuru.Kama upo Kibaha ,nenda jirani na Njuweni hotel,au jengo la Njuweni floor ya kwanza.
 
Mkuu ebu Soma comment yng kabla unaandika kuhusu gharama!
 
Mimi nataka kubadilisha namba ya NIDA isome majina Kama yalivyo katika cheti changu Cha chuo na vyeti vya secondary pia Hadi mwaka ktk nida unasoma 96/ while kwenye Birth certificate ni 97 by that time nilipokuwa na jiandikisha NIDA sikujua umuhimu wake nilijua Ni ID Kama ya kupiga kura.? Msaada wa maelezo
Dogo wa 96 unaropokaga ropokaga humu. Muwe na adabu na wakubwa zenu keyboard warriors.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom