Naomba kujua ABCs za biashara ya vyombo vya nyumbani(jikoni)

Ndio nasema unaongelea kitu kwa madhania, issue ni kuwa nipo busy na professional job kwa sasa sitangazi biashara kuhusu mizigo ya watu walioagiza imefika muda tu na muhusika wa Tanzania alifanyiwa operation
Mtu kama wewe ndio mnarudisha maendeleo nyuma na mkizeeka mnakuwa wachawi
Hayo yote inapaswa uwe unatoka taarifa mapema.
 
Mkuu unasema group number 2 liko kimya. Kwamba hakuna anayeulizia mzigo wake? Kwamba namsingizia?

Niweke screenshots hapa?
Hujasoma vizuri
Groups zipo mbili Group 2 na Group 3 na yote yapo active sivyo kama alivyosema mwenyewe kwamba group la 2 limejaa ni muongo huyo TRENDZ.

Group 2 Lipo active lakini lipo kimyaa

Group 3 Watu wanauliza lakini hakuna majibu.

Kwa hivyo magroup yote mawili yapo na hakuna lililojaa kama alivyosema mwenyewe.

Ukisima vizuri nilivyoandika utanielewa, sijakwambia wewe muongo ni huyo TRENDZ ndio MUONGO.
 
Hi,Naomba ambaye amefanikiwa kuanzisha au kumiliki biashara ya vyombo vya majumbanii kama vilee mabakuli,sahani ,vikombe..nk naomba kuelewa amekumbana na changamoto zipi na vipi imemlipa kiasi thanks please naombenii nina mpango wa kuanza hii biashara
 
Nakazia
 
naomba kuelewa amekumbana na changamoto zipi na vipi imemlipa kiasi thanks please naombenii nina mpango wa kuanza hii biashara
Mosi
Changamoto kamwe hazifanani
Kama umejipanga kuanza Anza mara moja
Swala la kulipa hii inategemea wewe utapata wapi mzigo wako na utauuzaje

Muhimu
Anza na kidogo yaani kama una laki 5 anza na laki3 then ile mbili utakua kila ukipokea maoni ya wateja wako faster unaongezea mzigo.

Ila anza mara moja usisubiri
 
Ilaa kweli nashukuru kwa kimawazo yako mazurii
 
Jf nadhani hamshindwi jambo lolote ikiwemo pamoja maoni mbalimbali nataka kuanza biashara ya kuuza vyombo vya nyumbani mtaji wangu ni m3 sehemu ya kuuzia ninayo lakini naona ni bora nitafute kitu cha kuchanganya hapo angalau kila siku nipate elf50
================================

==========================================
MAJIBU
==============================
General Topics Post (Japan) kupitia kwenye hii plaform utapa vyombo vy amtumba kutoka Japan bei zao zakawaida sana
 
Back
Top Bottom