Naomba kufahamu athari ya kula mayai na kuku kisasa (layers na broiler)

kipusi

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
443
74
Vyuo vkuu na baadhi ya maeneo watu hula sana hvi vyakula je vinaiitajika sana mwilini na je vinaathari gana wana JF???
 
Mtoa mada asante sana, naona umeuliza swali zito kwa niaba ya wstu wengi, nikiwemo...
Ngoja tusubir wataalam wa tiba na lishe
 
pita barabara yoyote Dar angalia pembeni mabango ya waganga wa kienyeji halafu soma wanatibu nini......
 
Ikiwa wefugwa kikanuni, havina madhara.

Shida ni huku bongo wafugaji wengi ni VI.LA.ZA na wanapenda pesa za haraka haraka. So wanawauza kabla dawa za chanjo hazijaisha mwilini au wanalazmisha hao kuku kukua kwa ARVs.

Unapokula mayai yake au nyama yao, utapata athari ya hizo kemikali za madawa ya chanjo au ARV.

Hakuna ushahidi wa hilo pasi na shaka lakini lisemwalo lipo.

Na kwa Dar hakuna namna ila kula hao maana ni ngumu sana kulisha watu milioni 5 kwa kanuni zote za afya ispokua tu udhati wa utawala ukiwepo.

Wanaume wa Dar hawana ujanja kuhusu hilo. Wengi wakivua mashati ni aibu vifua vyao. Teketeke sana na manyama uzembe ya kiuno wengi yamewajaa. Ila nyuso nyororoooo..... ndo uhendisamu labda.
 
Kwa upande wa nyuma ya hawa kuku wa kisasa, pale unapoweza nunua kuku mzima aliye Hai ujichiwe na utengenezewe, kama huwezi nunua aliye hai basi jenga mazoea ya kununua sehemu moja au kwa mtu unayemuamini. Ukijenga mazoea ya kuwanunua hovyo hovyo utalishwa vibudu au kuku wskiokufa kwa maradhi..
 
Inaleta manyama uzembe mwilini,ukila hayo ma broiler na mayai yake miez mi3 mfululizo lazima unenepeane ovyo.
 
Athari yake ni kuwa,
Kwanza hao kuku ni laboratory products ambao wamegeuzwa mifumo yao halisi ya ukuaji na kufupishwa, hivyo basi wanategemea madawa zaidi ili waweze kukua kwa haraka,
*madhara yake ni kuwa madawa haya hubaki mwilini mwa hao kuku hasa kwenye uroto wa mifupa na hivyo mlaji akiwatumia yale madawa yatafanya kazi ile ile ya kuufanya mwili wa mlaji kunenepa haraka hivyo kusababisha obesity and overweight problems,
*pia madawa ya kukuzia hawa kuku yanaweza kuwa chanzo kikubwa cha kufupisha maidha ya mlaji hasa anapotumia kwa kiwango cha juu.
* hupunguza na kuondoa asilia ya mtu/binadam, ikumbukwe kuwa kwa asilimia kubwa miili yetu hutegemeana vyakula asilia ili kuuweka mwili kuwa shupavu wenye kinga thabiti (body genuineness) hivyo matumizi ya kupindukia ya nyama bandia (artificial/lab flesh) huuweka mwili wa mtumiaji kuwa "bandia" na usiostahimili mazingira ya kawaida ikiwemo vimelea vya magonjwa na uimara wa mifupa ya mlaji (hasa kwa walioanza wakiwa watoto wadogo)

NB. TUJITAHIDI KULA VYAKULA ASILIA ANGALAU KWA KIWANGO CHA KUTOSHA ILI KUEPUKANA NA MATATIZO LUKUKI IKIWEMO NGUVU ZA KIUME(FOR MEN)
 
Thank you my brother
 
Wailize TFDA ( Mamlaka ya Chakula na Dawa) wao pekee nchini ndio wenye mashine za kupimia vyakula na dawa kujua ubora na madhara yake.
 
Back
Top Bottom