Naomba kufahamu A,B,C kuhusu kazi ya Carwash

Twins love

Senior Member
Jan 27, 2022
114
160
Habari zenu,

Ninatamani kufungua carwash lakini sijui lolote juu ya hi kazi, naomba kufahamu vitu gani muhimu vinatakiwa, mtaji kiasi gani, changamoto zake, faida zake na mambo mengine muhimu ambayo napaswa nizingatie kabla ya kufungua carwash
 
Mkuu hiyo biashara yako inafaa pembeni uwe na kibanda classic cha vifaa vidogo vidogo vya magari

Ninacho kibanda classic utakipenda nilikua nafanyia biashara hiyo ila kwa sasa nimesimama madeal yameingiliana
 
Mkuu kama bado ujapata vijana wa kazi nipo hapa, tuchekiane
 
Mkuu hiyo biashara yako inafaa pembeni uwe na kibanda classic cha vifaa vidogo vidogo vya magari

Ninacho kibanda classic utakipenda nilikua nafanyia biashara hiyo ila kwa sasa nimesimama madeal yameingiliana
Kama madeal yanakuelemea tupeane connection mkuu nipo hapa
 
Back
Top Bottom