Naomba kueleweshwa

Anaweza kama Mzunguko wake hauko stable. mara tarehe 24 mara tarehe 1 mara tarehe 10
 
Hawezi, mimba unapata kati ya siku ya 10 hadi 16 ukihesabu toka ulipoanza kupata mp. Ila unatakiwa uache siku mbili kabla na baada kwa tahadhari zaidi.
Pia kumbuka condom.
Halafu hii thread imekaa kijf doctor jf doctor....
 
Pole my dear...
Lakini hawezi kuwa mjaa mzito
Husninyo kakueleza kila kitu..
 
unaona kama ile mimba sio yako????? duh!! ilee tu bro kitanda hakizai haramu!!

ila kuanza mp 24-28 alafu 30 mimba kuna uwezekano mkubwa ukazaliwa mtoto mwaarabu hapo.

ila tuwasikilize wataalam zaidi!!
 
mh! Kwakwel cjui labda ujalibu kuonana na wataaramu alafu umesema dada yako kwann yeye binafsi asiende kuonana na madoctor ili wamshaur zaid
 
unaona kama ile mimba sio yako????? duh!! ilee tu bro kitanda hakizai haramu!!

ila kuanza mp 24-28 alafu 30 mimba kuna uwezekano mkubwa ukazaliwa mtoto mwaarabu hapo.

ila tuwasikilize wataalam zaidi!!

soma kwa makini Susy....sidhani kama umemuelewa na hujajibu swali lake....
 
Kwema wanaJF.Mwenzenu nmekuwa na tatizo kuhusiana na Mp za wadada na upataji Mimba najua wapo Wadada na wapo Wakaka wenye experience naomba mniambie.Inawezekana Mwanamke kuanza siku zake tar 24 na kumaliza tar 28 halafu tar 30 akakutana na Mwanaume akapata mimba? Just to know!

Butho...nadhani ulianzisha thread yenye mahudhui kama haya kule JF Doctor. Nimejaribu kukujibu kule lakini pia ntakujibu na hapa!

Kwa kawaida wanawake wengi wana mzunguko wa siku 28. Wachache wana mzunguko mrefu mpaka siku 30, na wachache tena wana mzunguko mfupi mpaka siku 25 au 26. Yai huwa linatolewa (ovulation) kati kati ya mzunguko, yaani siku ya 14 kwa mzunguko wa kawaida, 15 kwa mzunguko mrefu, na 12 au 13 kwa mzunguko mfupi. Yai likitoka ndio laweza rutubishwa na mbegu za kiume ili kutunga mimba!

Mbegu za mwanaume huwa zinaishi mpaka siku 3, hivyo zaweza kuwa hai na kurutubisha yai hata kama tendo la uumbaji/ndoa lilifanyika siku 3 kabla ya yai kutolewa (ovulation). Kwa hiyo basi, mwanamke ni salama kutopata mimba toka siku anapopata hedhi (bleeding) mpaka siku ya 10. Kisha anakuwa na hatari ya kupata mimba kuanzia siku ya 11 mpaka ya 17 (hii inajumuisha siku 3 kabla ya yai kutoka na kuendelea). Kisha anakuwa salama tena kuanzia siku ya 18 mpaka atakapoanza mzunguko mwingine tena kwa kuanza hedhi.

Kukujibu swali lako....tarehe 24 (alipoanza bleeding) mpaka tarehe 30 (alipofanya tendo) ni jumla ya siku 7 tangu aanze bleeding. It is is extremely unlikely kupata mimba. Kuwa na uhakika na tarehe ulizotaja kwanza, kama hujakosea basi inawezekana sana ikawa sio mimba yako hiyo, au atleast mimba haikutunga hiyo tarehe 30!
 
inawezekana ujauzito ni wako,sperm zinaweza kuishi mpaka siku tano,huu ni utafiti mpya uliofanywa na pia mwili wa mwanamke uko tayar mda wowote kutunga mimba.ukihesabu hizo siku,hata kama yai lilitoka siku ya 11,ujauzito ni wako.lea tu,akitoka kafanye DNA
 
unaona kama ile mimba sio yako????? duh!! ilee tu bro kitanda hakizai haramu!!

ila kuanza mp 24-28 alafu 30 mimba kuna uwezekano mkubwa ukazaliwa mtoto mwaarabu hapo.

ila tuwasikilize wataalam zaidi!!
Penye red pamenifurahisha sana ila ni kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom