acleyfrancis
Member
- Jan 31, 2017
- 16
- 29
Habari mabibi na mabwana, kwa yeyote mwenye kuwa na uelewa mpana juu ya soko la hisa la Dar es Saalam naomba ashee na mm hapa kwaniaba ya wengi wanaohitaji kujua.
Ningependa kujua yafuatayo
1. Liquidity yake kulingana na stocks zao,
2. Broker yupi mzuri kwasababu nimeona kuna broker wengi sana.
3. Stocks zipi ambazo growth yake ni nzuri.
Nitashukuru na ntakua hapa kusoma comments